Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Wanyakyusa, kupenda kubishana, Kama mnashindana kwenye maongezi, alafu wepesi kuomba msamaha wakijua umekasirika kwa ajili yao, wakati nipo chuo nilikaa na mnyakyusa ilikuwa kazi kweli, kugombana kila mara.ye alitangulia kumaliza aliniachia vitu vyake vyote, Lakini tunaelewana kwa Sasa tunachati anapenda kuja kwangu Ila nikikumbuka ya zamani Sina hamu.
 
Back
Top Bottom