babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mmenikumbusha mbali sana,
Siku niko na bibi yangu mzaa baba mi naumwa maleria bibi anataka kwenda kumsalimia rafiki yake upande wa pili toka kwetu.
Ikawa twende hapo jirani tukasalimie mi nikagoma sijiskii vizuri.
Kulikua na kamto hapo mbele kwetu ,namwambia bibi huo mto hapo siwezi kuvuka.
Bibi anasema nakubeba tuvuke.
Haya, nikapigwa pini na mbeleko mpk tunafika kwa jirani bibi hajanishusha😅🤣🤣🤣.
Namwambia ilikua tuvuke mto tu , ye yuko we twende kaa hapo.
Toto la miaka 14 enzi hizo nimebebwa mgongoni yaani jirani mwenyewe anauliza toto kubwa hivi unalibeba ?
Bibi hana hata abari jirani anashangaa mi tunafika kwake nimebebwa na bibi
Yaani that was overwhelmed memory sitasahau maisha yote