Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Sikujua kama wanyaki wana hizi mambo ya ubishi na u-much know, nilikuwa na fundi wangu mnyakyusa, aisee mnaweza kutofautiana mtazamo au jambo fulani sasa atabisha hadi giza, hata kama umefanya maamuzi yako kwa kuchukulia kwamba wewe ndo mwenye kazi, huo ubishi itabidi utafute na maji ya baridi, halafu ni kwa sauti ya juu hadi mtaa wa pili watajua leo kuna shughuli huko.........sasa piga akili wamekutana na mhaya aka. nshomile.......lazima msuluhishi atafutwe mapema.​
 
Nilikuwa na zigo langu la kinyakyusa trako scania guu mbuyu mweusi tii kama kapata ajali na gari la kiwi ila sura ya baba,, akiongea na lafudhi yake ile ya kinyakyusa kama ananata na biti, alikua ananikubali kweli mnyaki yule!! Alikuja mjini kwa dada kutembea basi dada yake akisepa tu nilikuwa nambinjukia naenda kupiga mshipa humo humo kwao,,
 
Sikujua kama wanyaki wana hizi mambo ya ubishi na u-much know, nilikuwa na fundi wangu mnyakyusa, aisee mnaweza kutofautiana mtazamo au jambo fulani sasa atabisha hadi giza, hata kama umefanya maamuzi yako kwa kuchukulia kwamba wewe ndo mwenye kazi, huo ubishi itabidi utafute na maji ya baridi, halafu ni kwa sauti ya juu hadi mtaa wa pili watajua leo kuna shughuli huko.........sasa piga akili wamekutana na mhaya aka. nshomile.......lazima msuluhishi atafutwe mapema.​
Unawajua vema wanyakyusa nimeishi nao miaka 10; ntaba ipinda masoko ibutu ksyeto mpungti mwakaleli mawasiliano msasani Kwa mbila pa kanselo nk
 
Wakuu nifundisheni namna ya kujibu salam za kinyaki maana kila town akina mama na wabibi lazima wanipe salaam kwa kilugha.
 
Back
Top Bottom