Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

tatizo watu wengi wanashindwa kutofautisha kujiamini (confidence) na ujuaji. Wanyakyusa wana asili ya kujiamini ambapo huletwa na uelewa. Sasa kwa wale waliokuwa na uelewa mdogo wanachukulia ule ni kujifanya mjuaji.

Hakuna kabila lenye watu humble na down to earth kama wanyakyusa. Ukiona Mnyakyusa anazungumzia jambo inamaanisha analijua vilivyo.
Ni sawa na mzee wa degree nne mwakiembe sijui yuko wapi siku hizi, lazima kwanza aelewe anaongea na mtu mwenye elimu gani, wanyaki bhana mtakuwa mpo sawa na nshomile.....
 
Ni sawa na mzee wa degree nne mwakiembe sijui yuko wapi siku hizi, lazima kwanza aelewe anaongea na mtu mwenye elimu gani, wanyaki bhana mtakuwa mpo sawa na nshomile.....
Umetumia haki yako ya msingi ya kueleza kile unachoamini kuwa ni kweli ukijumlisha na bundle ni la pesa yako mwenyewe, naanzaje kukupinga sasa? Upo sahihi kwa mujibu wa ufahamu/uelewa wako.
 
Wanyakyusa aisee hebu rekebisheni hili ndugu zangu mnasalimia salimia Sana mnaongea sana Hadi mnakera na mnajua Kila kitu Yani ujuaji mwingi hii sio fresh sio Poa badilikeni bana!! Mods msifute huu uzi Mimi nilioa Kwa wanyakyusa ila nilimuacha dada Yao nikaoa mpare mwenzangu!
Hiyo ya kusalimia sana hata mimi nime experience huku, yaani unaingia mgahawani unagiza chakula, kila mtu akiingia anakusalimia sasa si unaweza kukwama na chakula.
 
Back
Top Bottom