Wanyakyusa mnaongea sana mnasalimia sana na mnajua Kila kitu! Sio fresh sio Poa!!

Ni sawa na mzee wa degree nne mwakiembe sijui yuko wapi siku hizi, lazima kwanza aelewe anaongea na mtu mwenye elimu gani, wanyaki bhana mtakuwa mpo sawa na nshomile.....
 
Ni sawa na mzee wa degree nne mwakiembe sijui yuko wapi siku hizi, lazima kwanza aelewe anaongea na mtu mwenye elimu gani, wanyaki bhana mtakuwa mpo sawa na nshomile.....
Umetumia haki yako ya msingi ya kueleza kile unachoamini kuwa ni kweli ukijumlisha na bundle ni la pesa yako mwenyewe, naanzaje kukupinga sasa? Upo sahihi kwa mujibu wa ufahamu/uelewa wako.
 
Hiyo ya kusalimia sana hata mimi nime experience huku, yaani unaingia mgahawani unagiza chakula, kila mtu akiingia anakusalimia sasa si unaweza kukwama na chakula.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…