Wanyarwanda wenye influence na siasa za Tanzania hapa panawahusu

Hivi unasahau kuwa kuna watusi wa tanzania kama ilivyo wabaganda, wamasai, wadigo n.k???
 
Watanzania wabashangaza Sana kila jambo tunalalamika , kunashida gani Mwafrika mwe zako kufanya kazi hapa, mbona Warabu hawasemwe na wanamiliki uchumi mkubwa, kila kukicha Watanzania watawasena Wakenya, Wanyarwanda ni aibu jirekeneshe hakuna mwenye Tanzania hii ni Afrika
 
Mkuu, hao majamaa wamejaa hapa JF, Na kuprove hilo nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunajadili twitter account ya Rais wao, baada ya ule mjadala, mara moja kuna contents kule ziliondolewa, hii ni kipindi kile cha ule mvutano na nchi jirani.
 
Kigoma ndo inanyanyaswa balaa....wazee wa Teleza
 
rwakabamba-waziri wa elimu
Prof. Silas Lwakabamba ni Mnyarwanda mwenye 'asili' ya Tanzania.

Nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya mtanzania na mtu mwenye asili ya Tanzania.
 
Wanyarwanda ni watu wakatili sana. Wanaogopesha
 
Prof. Silas Lwakabamba ni Mnyarwanda mwenye 'asili' ya Tanzania.

Nafikiri kuna tofauti kubwa kati ya mtanzania na mtu mwenye asili ya Tanzania.
Huyo si alikuwa Mwalimu pale Faculty of Engineering miaka ya zamani?
 
usalama wa taifa wanapambana na vyama vya upinzani, kazi ambayo hata haipo kwenye JD yao
 
Mkuu, hao majamaa wamejaa hapa JF, Na kuprove hilo nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunajadili twitter account ya Rais wao, baada ya ule mjadala, mara moja kuna contents kule ziliondolewa, hii ni kipindi kile cha ule mvutano na nchi jirani.
Hawatuwezi
 
Maskini!Umenikumbusha Mchungaji CM
 
Wengi hawafahamu kuwa enzi za utawala wa wajerumani, Rwanda na Burundi zilikuwa sehemu ya Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…