Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Hizo ni akili za Xenophobic, mipaka yote ya Tanzania wakazi wanaongea lugha moja na upande wa pili.Just because ni majirani haimaanishi tufungue geti wamiminike weee bila brake. Unlike tanzania , rwanda ni ndogo na haina too much resources, so moja ya malengo ya kiongoz wao ni kutafuta resources karibu kuijenga nchi yao, jibu Congo . Next TZ.. hawa watu wamejipenyeza sana wakiwa na lengo moja tu.
Sisemi wote ni wabaya but hatuwez waruhu kufanya wanqchokitaka over watanzania halisi walio wakuta.
Usalama wa nchi ni kipoambele cha kwanza
Hata Congo, Rwanda, Burundi, Malawi, Mozambique na Zambia kuna makabila yanaongea Kiswahili; wakati hiyo sio official language ya nchi hizo (note sijataja Kenya).
Congo Kivu imejaa waty wanaongea Kiswahili na kinyarwanda na serikali yao hayo maeneo kama wameyatekeleza.
Swala la kujenga nchi inataka nationalism propaganda, wazaire wavivu wa hiyo shughuli.
Sasa aina maana tunafanana nao, Tanzania ni nchi inayojitambua; msaliti kwenye vyombo vya usalama anaweza kuwa raia yeyote.
Raia wa Tanzania wanaongea kinywarandwa ni watanzania, kama raia wanaoongea Kiswahili nchi jirani walivyo raia wa nchi zao.
Kuongea Kinyarwanda hakukufanyi wewe kutokuwa mtanzania.
Tusipende easy fix, mimi nawajua watanzania kutoka Ngara wanaoongea kinyarwanda na hawajui lolote kuhusu Rwanda
Nchi aiongozwi na wapuuzi raia wa Tanzania wanaoongea kinyarwanda wana hati miliki kama ya nchi kama raia anaetoka eneo lolote ndani ya Tanzania,