Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ndio Watamu Sasa haoSio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu..
Wakikaba kwenye Mlima Serenje walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu...
BalaaaSio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu..
Wakikaba kwenye Mlima Serenje walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu...
Mkoa wa Songwe huku Mbozi Tumejazana kibaooWanapatikana wapi hao
Ooohh... Sawa tutaoa waluguru wa milimani huku na wazaramo, maana tushawazoeaMkoa wa Songwe huku Mbozi Tumejazana kibaoo
Jamaa zangu walioenda Mbozi kikazi au kwa biashara wote wamezamia huko kwa kuoa na makazi na wapo vizuri.Mkoa wa Songwe huku Mbozi Tumejazana kibaoo
Mbozi ipo Mbeya?Mbozi Mbeya
Mbozi sasa ni Songwe mkuu.Mbozi Mbeya
Nimekaa uko ila sikuona matukio ya kutusha zaid ya story.Ni kweli mna roho ngumu sana za kikatili, mpaka leo huku kwetu umalila mtu akitaka kumfanyia mwenzio jambo baya lazima aende kutafuta majeshi unyihani.