Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Sio Serenje, Senjele.Sio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu.
Wakikaba kwenye Mlima Serenje walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu...