Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatoka sehemu gani hapa Tanzania au ni watu tu wa motoni?Tumugoje tumuleshe?
Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?"
Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke anaweza kukuacha ndani u taabani, kwa kuumwa, akaenda kanisani akarudi usiku kisha akapitilizia kulala
Wa ku MboziWanatoka sehemu gani hapa Tanzania au ni watu tu wa motoni?
Unadhani Wachuna ngozi za binadamu ni wakina nani?Mbona hatuwasikii kwenye taarifa ya habari kama Njombe,Manyara,na Mara?
Id ndio zinatuficha😁Wanatusingizia tu. Mbona si Wanyiha wa Igamba tuko peace tu. Hao labda mlikutana na waliozamia Tunduma.
Mzee Wangu umemuoa mnyia nnTumugoje tumuleshe?
Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?"
Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke anaweza kukuacha ndani u taabani, kwa kuumwa, akaenda kanisani akarudi usiku kisha akapitilizia kulala
Wapuuz sanaSio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu.
Wakikaba kwenye Mlima Senjele walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu na pia huko Mbozi palikua na Mzee alikua anakodisha Bunduki na kutengeneza siraha ambazo Majambazi wengi wamezitumia kwenye utekaji Mkoa wa Mbeya...
Ni Kweli mna roho katili SanaWatu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Igamba wanasemaje aisee Nina history na hiko kijij Sana nikiwai pindua gari hkn mnyia alinisaidiaWanatusingizia tu. Mbona si Wanyiha wa Igamba tuko peace tu. Hao labda mlikutana na waliozamia Tunduma.
Hkn ndoa ya mnyakyusa na mnyia au mndaliMna roho mbaya mno,nilioa huko na ndoa ilitushinda Kama asemavyo mleta uzi, ni watu makatili,hamna utu na ukioa huko ndugu kujazana kwako akiwa amekuja Kama alivyo ,na Mambo yako yakienda vibaya ndio utawajua wasivyo na utu.Wazee walinionya khs ilo kabila, nikawaambia ninaemuoa kasoma hawezi kuwa vibaya,wakaniambia mtu aachi asili yake...nilijuta aisee
Kibona Ni mndaliAkina kibona najua najua mpo hapa mnakubali mnakataa
Aisee!🙆Unadhani Wachuna ngozi za binadamu ni wakina nani?
Mna roho mbayaaa nimesoma nao mbozi mission secondary school kote mlowo, vwawa, idiwili, itaka , igamba, mahenge, isansa mmejaa nyie tu mnaroho mbayaaa ya maviii hamfaiii na ndiyo maana mnajitenga mnaishi wenyewe Kwa wenyewe hata mbeya mjini hampo mmejificha maporini yaani nyie hamna tofauti na wasafwa wa uyole sijuii mliumbwa Kwa lengo gani hapa duniani? hamtaki kuchangamana na watu ni wabinafsi hampendi mtu asiye wa kabila lenu afanikiwe kazi tu kusema shonii, mwakata.... Mwakata uli .. haansiii wapuuzi wakubwa mlimteka kaka yangu mkamkata miguu Kisa alikatisha kwenye shamba la alizeti kule matula nawalaani miaka ALFU LELA ULELA.Watu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Punguza hasira mkuu. Kaka yako atakuwa alikuwa mwizi. Huwa hatuvumilii wezi.Mna roho mbayaaa nimesoma nao mbozi mission secondary school kote mlowo, vwawa, idiwili, itaka , igamba, mahenge, isansa mmejaa nyie tu mnaroho mbayaaa ya maviii hamfaiii na ndiyo maana mnajitenga mnaishi wenyewe Kwa wenyewe hata mbeya mjini hampo mmejificha maporini yaani nyie hamna tofauti na wasafwa wa uyole sijuii mliumbwa Kwa lengo gani hapa duniani? hamtaki kuchangamana na watu ni wabinafsi hampendi mtu asiye wa kabila lenu afanikiwe kazi tu kusema shonii, mwakata.... Mwakata uli .. haansiii wapuuzi wakubwa mlimteka kaka yangu mkamkata miguu Kisa alikatisha kwenye shamba la alizeti kule matula nawalaani miaka ALFU LELA ULELA.
Ndomana nilifirahi sana mkoa wa mbeya ulivyotenganishwa na liwilaya la mbozi lililojaa mahayawani watupu wasiojielewa.
Hebu nitajie ni myiha gani kashawahi kushika ngazi za juu za uongozi katika nchi hii!!!?? Mnaishia kuwa mamonita tu kwenye madarasa mliyojaa nyie watu wa hovyo miso na mfano..
Kwa kifupi nyie ni wapumbavu tu.
Maisha yanaenda fresh tu. Watu wanalima karanga, nyumba za msouth zinaota, boda boda zinanunuliwa, maisha yanaenda.Igamba wanasemaje aisee Nina history na hiko kijij Sana nikiwai pindua gari hkn mnyia alinisaidia
Kule Chunya kulikuwa sehemu salama kabisa ila tangu washkaji watie kambi ndio ikawa mara yangu ya kwanza kuweka historia kuwa miongoni mwa watu walioshuhudia vipaji vya kipekee katika swala zima la wizi.Sio Wagumu tu ni kabila lenye watu wenye roho ya kikatili nadhani kuliko makabila mengi Tanzania wao kuua ni kitu cha kawaida tu.
Wakikaba kwenye Mlima Senjele walikua wanatumia huo msemo wao wa Tumghoghe au Tumleshe wakimaanisha tumuue au tumuache mmoja kati yao akiongea uuawe au uachwe utaachwa kweli au kuuawa sio watu kabisa hao ndio hao hao walipelekewa deal na Waganga kuhusu ngozi ya binadamu mpaka wakaanza kuchuna ngozi watu na pia huko Mbozi palikua na Mzee alikua anakodisha Bunduki na kutengeneza siraha ambazo Majambazi wengi wamezitumia kwenye utekaji Mkoa wa Mbeya...