Kuna gari ya magodoro ilipata ajali, dereva akawa anaomba msaada wamfungulie mlango na gari ilishaanza kushika moto.!! Aiseee!! Wale raia waligoma wakawa wanaendelea kusomba magodoro, ikabidi dereva alivyoona kakosa msaada atupe vitambulisho vyake ili iwe rahisi ndugu zake kujua km alikufa 😭😭😭😭😭
Mpaka leo lile eneo nalichukia pamoja na hao watu (wanyiha) wa eneo hilo.
Hilo kabila ni makatili kweli, kuua ni jambo rahisi kwao na ni wachawi walioshindikana..!! Hao kumiliki joka ili awe tajiri sio shida zao. Ni mijitu ya hovyo sana.
Sema wanawake zao majeuri ila vicheche balaa, hata ukioa lazima uchapiwe. Pamoja na yote ni watu wachapa kazi haijalishi halali au haramu wao wanapiga.