Ila hiyo "r" sijui ilitokea wapi maana wanyaki hutumia sana "L"Kiwila!!!!!??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila hiyo "r" sijui ilitokea wapi maana wanyaki hutumia sana "L"Kiwila!!!!!??
Mbozi kwa wapiga NONDO na wachuna ngozi ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wanapatikana wapi hao
Nimekaa Mlowo hapo hapo center kabisa , karibu na pale kwenye vile vijiwe vya kupimia mahindi ambapo walanguzi wa mahindi huwa wanakuja kufunga mzigo ,Watu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
KamweneWatu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Mbozi na Songwe pako shwari sikuhizi , miaka ile ya nyuma ndio kulikuwa ni mji wenye uhalifu kuliko yote Tanzania hapa ,kuanzia ujambazi , uchunaji ngozi , mauaji ya kishirikina kama kupiga watu NONDO nkMbona hatuwasikii kwenye taarifa ya habari kama Njombe,Manyara,na Mara?
Wanyiha na binamu zao wandali , hasa wandali kwa uchawi ni nomaMna roho mbaya mno,nilioa huko na ndoa ilitushinda Kama asemavyo mleta uzi, ni watu makatili,hamna utu na ukioa huko ndugu kujazana kwako akiwa amekuja Kama alivyo ,na Mambo yako yakienda vibaya ndio utawajua wasivyo na utu.Wazee walinionya khs ilo kabila, nikawaambia ninaemuoa kasoma hawezi kuwa vibaya,wakaniambia mtu aachi asili yake...nilijuta aisee
Hiyo wilaya ya Rungwe huko Ileje ni balaa ,Wandali wanatisha kwa kukipuliza .Mna roho mbaya mno,nilioa huko na ndoa ilitushinda Kama asemavyo mleta uzi, ni watu makatili,hamna utu na ukioa huko ndugu kujazana kwako akiwa amekuja Kama alivyo ,na Mambo yako yakienda vibaya ndio utawajua wasivyo na utu.Wazee walinionya khs ilo kabila, nikawaambia ninaemuoa kasoma hawezi kuwa vibaya,wakaniambia mtu aachi asili yake...nilijuta aisee
Mwakataaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mna roho mbayaaa nimesoma nao mbozi mission secondary school kote mlowo, vwawa, idiwili, itaka , igamba, mahenge, isansa mmejaa nyie tu mnaroho mbayaaa ya maviii hamfaiii na ndiyo maana mnajitenga mnaishi wenyewe Kwa wenyewe hata mbeya mjini hampo mmejificha maporini yaani nyie hamna tofauti na wasafwa wa uyole sijuii mliumbwa Kwa lengo gani hapa duniani? hamtaki kuchangamana na watu ni wabinafsi hampendi mtu asiye wa kabila lenu afanikiwe kazi tu kusema shonii, mwakata.... Mwakata uli .. haansiii wapuuzi wakubwa mlimteka kaka yangu mkamkata miguu Kisa alikatisha kwenye shamba la alizeti kule matula nawalaani miaka ALFU LELA ULELA.
Ndomana nilifirahi sana mkoa wa mbeya ulivyotenganishwa na liwilaya la mbozi lililojaa mahayawani watupu wasiojielewa.
Hebu nitajie ni myiha gani kashawahi kushika ngazi za juu za uongozi katika nchi hii!!!?? Mnaishia kuwa mamonita tu kwenye madarasa mliyojaa nyie watu wa hovyo miso na mfano..
Kwa kifupi nyie ni wapumbavu tu.
Ila Mbeya kwa uchawi na ushirikina wanatisha aisee , halafu makanisa yaliyojaa sasa ,kila kona kanisa , utadhani nini .Hata wanyiha wachunaji ngozi walikuwa zamani sio sasa!! Ila hao wanyama nyafu mpk leo wanaendeleza uchawi wao ndio wanaozuia mvua zisinyeshe
Kwa hiyo Rungwe ni Lungwe?Ila hiyo "r" sijui ilitokea wapi maana wanyaki hutumia sana "L"
Dereva alipona lakini?Kuna gari ya magodoro ilipata ajali, dereva akawa anaomba msaada wamfungulie mlango na gari ilishaanza kushika moto.!! Aiseee!! Wale raia waligoma wakawa wanaendelea kusomba magodoro, ikabidi dereva alivyoona kakosa msaada atupe vitambulisho vyake ili iwe rahisi ndugu zake kujua km alikufa 😭😭😭😭😭
Mpaka leo lile eneo nalichukia pamoja na hao watu (wanyiha) wa eneo hilo.
Hilo kabila ni makatili kweli, kuua ni jambo rahisi kwao na ni wachawi walioshindikana..!! Hao kumiliki joka ili awe tajiri sio shida zao. Ni mijitu ya hovyo sana.
Sema wanawake zao majeuri ila vicheche balaa, hata ukioa lazima uchapiwe. Pamoja na yote ni watu wachapa kazi haijalishi halali au haramu wao wanapiga.
SafiMaisha yanaenda fresh tu. Watu wanalima karanga, nyumba za msouth zinaota, boda boda zinanunuliwa, maisha yanaenda.
Toa location 😎Tumugoje tumuleshe?
Huo ndio msimbo wao, au password yao, ikiwa na maana "Tumuuwe au tumuache?"
Hawa watu ni wagumu sana kwenye mahusiano, ni makatili sana na Wana roho ya ajabu kabisa. Mwanamke anaweza kukuacha ndani u taabani, kwa kuumwa, akaenda kanisani akarudi usiku kisha akapitilizia kulala
Alikufa gari iliwaka 😭Dereva alipona lakini?
Nilipindua gari eneo la mlowo waligoma kunisadia kulitoa ilibidi niendeshe mwenywe pmj na kuwa majerahaKuna gari ya magodoro ilipata ajali, dereva akawa anaomba msaada wamfungulie mlango na gari ilishaanza kushika moto.!! Aiseee!! Wale raia waligoma wakawa wanaendelea kusomba magodoro, ikabidi dereva alivyoona kakosa msaada atupe vitambulisho vyake ili iwe rahisi ndugu zake kujua km alikufa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Mpaka leo lile eneo nalichukia pamoja na hao watu (wanyiha) wa eneo hilo.
Hilo kabila ni makatili kweli, kuua ni jambo rahisi kwao na ni wachawi walioshindikana..!! Hao kumiliki joka ili awe tajiri sio shida zao. Ni mijitu ya hovyo sana.
Sema wanawake zao majeuri ila vicheche balaa, hata ukioa lazima uchapiwe. Pamoja na yote ni watu wachapa kazi haijalishi halali au haramu wao wanapiga.
Hatari sanaIla Mbeya kwa uchawi na ushirikina wanatisha aisee , halafu makanisa yaliyojaa sasa ,kila kona kanisa , utadhani nini .
Watu kila siku makanisani kuimba na kuserebuka ,ila uchawi sasa
Mkiwa mjin mnatuuziaga blauz mnasema ni mashati na hapa tuuziage basi. Daah umenikumbusha mbali san. Kamsamba moja hiyo miaka hiyo minadan.Watu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Huku wanamwona jamaa bila kutoa msaada!?!! Basi ni balaaAlikufa gari iliwaka 😭