Wanyiha, ni watu wagumu sana mapenzini. Acha waoane wao kwa wao

Watu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Nimekaa Mlowo hapo hapo center kabisa , karibu na pale kwenye vile vijiwe vya kupimia mahindi ambapo walanguzi wa mahindi huwa wanakuja kufunga mzigo ,
Life la Mbozi zuri bana , sema vumbi tu ndio lilinikera ,aisee Mlowo kuna vumbi baya ,unapauka kama nini sijui .
 
Wanyiha na binamu zao wandali , hasa wandali kwa uchawi ni noma
 
Hiyo wilaya ya Rungwe huko Ileje ni balaa ,Wandali wanatisha kwa kukipuliza .
Wachawi sana hilo kabila
 
Mwakataaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na umewapatia wanavyoivuta hiyo mwakataaa
Aisee
Wanyiha wana mambo
 
Hata wanyiha wachunaji ngozi walikuwa zamani sio sasa!! Ila hao wanyama nyafu mpk leo wanaendeleza uchawi wao ndio wanaozuia mvua zisinyeshe
Ila Mbeya kwa uchawi na ushirikina wanatisha aisee , halafu makanisa yaliyojaa sasa ,kila kona kanisa , utadhani nini .
Watu kila siku makanisani kuimba na kuserebuka ,ila uchawi sasa
 
Dereva alipona lakini?
 
Toa location 😎
 
Hilo kabira ndio nalisikia leoo..
Kuna jamaa wa mbeya kabila sijui, tulikua tunasoma naye, kuna siku tukapishana, tukazinguana palee, nikajua imeisha..

Khaaa, Jioni Napiga zangu msuli, jamaa kumbe kavunja kuti anakuja kunipiga nalo,
Nilisikia tuu wana wanapiga kelele "........, kwepaaaa...' daadeki, ile nasogea tuu usawa wa kichwa, likatua kwenye calculator, niliona batan tuu chini,
Sasa sijui ndio hao, maana sio mnyakyusa.
 
Nilipindua gari eneo la mlowo waligoma kunisadia kulitoa ilibidi niendeshe mwenywe pmj na kuwa majeraha

Alikuja jamaa mmoja mnyia alitaka kufuta kesi polic kwa laki 800 nikamgeuka nikLipa laki 500 kesi ikafutwa
 
Ila Mbeya kwa uchawi na ushirikina wanatisha aisee , halafu makanisa yaliyojaa sasa ,kila kona kanisa , utadhani nini .
Watu kila siku makanisani kuimba na kuserebuka ,ila uchawi sasa
Hatari sana
 
Watu mnatukandia sana Wanyiha Eti tuna Roho mbaya Acheni hizo Njooni Huku Vwawa au Mlowo Mje mfanye utafiti wa Mnachokisema
Mkiwa mjin mnatuuziaga blauz mnasema ni mashati na hapa tuuziage basi. Daah umenikumbusha mbali san. Kamsamba moja hiyo miaka hiyo minadan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…