Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Nyoeni kama LODI LOFAsasa si wangetoa fasheni wanayo taka tuende nayo......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyoeni kama LODI LOFAsasa si wangetoa fasheni wanayo taka tuende nayo......
Ahahaah yaan wewe sina mieTangawizi
We muhenga lazima unyoe hivyoWakianza kukamata wanaume ambao wananyoa kama January naomba uniite!
Mange kapongeza sana zoezi hiki, kasema watoto hawana adabu!MANGE KASEMAJE?
Wanaweza kukamata hawa! Hawatabiriki! Hivi imekuaje umenipotea hivo!We muhenga lazima unyoe hivyo
Kasema tujikaze tuu hamna....MANGE KASEMAJE?
Sijakupotea kuna sehem niliwaona jana na sakayo mnafukuzwa ilibidi nipite kimyakimya na kuchekaWanaweza kukamata hawa! Hawatabiriki! Hivi imekuaje umenipotea hivo!
Kizazi cha hovyo kabisa hiki, hadi kinakumbushwa kwa bakora ...ni hatari sana. Ngoja wafunzwe na dunia, na mie natamani nikute maeneo kichapo hicho ili nikoleze ...waturuhusu tuwatie dole pia
Nimecheka! Wewe si mtu mzuri! Ulipaswa kutusalimia kama sio kutusaidia!Sijakupotea kuna sehem niliwaona jana na sakayo mnafukuzwa ilibidi nipite kimyakimya na kucheka
Tuagizee sudanAhahaah yaan wewe sina mie
Ahahaha naanzaje sasa watu mmefukuzwa na huku sakayo kajibu kiheshima na kiupole nilicheka sanaNimecheka! Wewe si mtu mzuri! Ulipaswa kutusalimia kama sio kutusaidia!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu ebu niachee naanzaje mieTuagizee sudan
Ujuee za sudan ni veriii fantastikiiiii au nadanganyaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu ebu niachee naanzaje mie
Haya bana. Angalia tusijefukuzwa na humu!Jaman mbona me nimemzidi sasa alivyo sema unaniangalia tu kwa wasiwasi
Naona ndio linalofatiaHaya bana. Angalia tusijefukuzwa na humu!