Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Tetesi: wanyoa viduku,wavaa jeans wala vichapo

Wanaweza kukamata hawa! Hawatabiriki! Hivi imekuaje umenipotea hivo!
Sijakupotea kuna sehem niliwaona jana na sakayo mnafukuzwa ilibidi nipite kimyakimya na kucheka
 
Kizazi cha hovyo kabisa hiki, hadi kinakumbushwa kwa bakora ...ni hatari sana. Ngoja wafunzwe na dunia, na mie natamani nikute maeneo kichapo hicho ili nikoleze ...waturuhusu tuwatie dole pia

Duh hii kali wewe ni mmoja wanaopiga mikwaju
 
Sijakupotea kuna sehem niliwaona jana na sakayo mnafukuzwa ilibidi nipite kimyakimya na kucheka
Nimecheka! Wewe si mtu mzuri! Ulipaswa kutusalimia kama sio kutusaidia!
 
Shonza awashikishe adabu tu, mkavalie hayo masempele yenu night club na casino, shonza ashughulikie na hizi grosary za mitaani kwetu, malevi yanakojoa hovyo nayo atutolee,
 
hivi kuna mahali popote palipo andikwa mila na desturi zetu kuhusu mavazi?ni sheria kuvaa wanavotaka? Sio fea. Ccm na serikali yenu acheni kuonea watu sasa inatosha.
 
Nimecheka! Wewe si mtu mzuri! Ulipaswa kutusalimia kama sio kutusaidia!
Ahahaha naanzaje sasa watu mmefukuzwa na huku sakayo kajibu kiheshima na kiupole nilicheka sana
 
Nakumbuka nilitaka kufukuzwa shule kwa kunyoa kipara miaka ya nyuma sana.

Serikali ya tanzania ni ya kipuuzi sana aiseee america watu wanashinda na bikini na kuna baridi SA hapo tu watu wanavaa nusu utupu mno na ndio nchi zenye maendeleo.
Tanzania hatuna hata vazi la taifa utanishawishi kwa lipi magufuli jitathmini sana uchumi unaoutaka bado sijauelewa
 
Back
Top Bottom