Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Halafu pombe kali nyingi Tanzania ni feki na ni sumu halafu TBS wanapata chochote kitu na wenye Mamlaka hupata kijibahasha cha kaki.
Na wewe umerudi palepale, hapo kwenye ufeki hapo kila kitu kina pacha wake feki..!! haya, hebu niambie, wanaokula chips zilizokaangwa na mafuta ya transformer wapoje..!!??
 
Peps Ina yeyusha chuma"

Coca Ina yeyusha kutu"
Mwili hauna material ya chuma, hivyo ukinywa pepsi mwili hauyeyuki kama kiyeyukavyo chuma

Mwili hauna materials yaliyopo kwenye kutu, hivyo mwili haukutani na yanayoikuta kutu pindi imwagiwapo coca, kwa vile mwili hauna materials yanayotengeneza kutu..!!
 
Wasaalam!!!!

Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...

Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..

Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.

Kaa tafakari.

ACHA POMBE..
Ndugu mengine yaache tuu. Yesu mwenyewe alikuwa hanywi konyagi, Barimi, kihambule, komoni wala alikuwa hakaangiwi samaki, mboga wala kunywa maji ya jambo au kilimanjaro But Hayupo na aliishi miaka 32 tuu. So ACHA MAJUNGU. ISHI MAISHA YAKO
 
Wasaalam!!!!

Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...

Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..

Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.

Kaa tafakari.

ACHA POMBE..
Watu wanatamani kuacha ila wakifikilia familia za wahudumu wa bar zitateseka, serikali itapoteza kodi nakadhalika wanaamua kuendekelea liwalo na liwe, kifo ni kifo tu, unaweza kuyatunza maini ukafa kwa malaria, ajali etc
 
unajisahau rasta,kila kilichopo kitakuwepo tu kwa muda,so muache anayefurahia pombe afurahi kwa sababu hata anayefurahia kunywa tu maji naye atakuwepo tu kwa muda
 
Na wewe umerudi palepale, hapo kwenye ufeki hapo kila kitu kina pacha wake feki..!! haya, hebu niambie, wanaokula chips zilizokaangwa na mafuta ya transformer wapoje..!!??
wao hukosa nguvu za kiume (wanaume wa DAAh) pia hawana uweza wa kutumia akili...mimba kuharibika...kansa,,,n.k.
 
" Yafaa nini kufa ukiwa na Afya njema?" Walevi 24:6.

" Yafaa nini kufa ukiwa na figo na ini zima? piga kamnyweso🥃" walevi 25:1.
 
Unasema kuna anayejiwahisha kufa, hebu niambie, ukifa leo, unatumia kigezo gani kujua kwamba kufa kwako leo umechelewa, umewahi au umekufa wakati muafaka?Kigezo ni vile ninavyoona wanywa pombe kali wanavyopoteza maisha huku mimi ninaendelea kuishi.Ushaidi ninao na nikikutajia huwezi kuwajua.Sijivunii kuwa nawezakwepa kifo ila najivunia kuepuka tabia hatarishi ya ulevi wa pombe kali.Sijuo utakuwa umenielewa?
 
Mungu mwenyewe angekua anajua kuwa pombe ni kitu kibaya basi asingewapa wanadamu maarifa ya kutengeneza pombe.
Afu nyie wanywa juice mnapenda K sana tunawajua vizuri.
Tukiwaambia ukweli mnapendaga kutuzushia eti na sisi tunapendaga sijui nini.Kwani kupewa maarifa na Mungu ndio kakutuma uyatumie vibaya?
 
Tukiwaambia ukweli mnapendaga kutuzushia eti na sisi tunapendaga sijui nini.Kwani kupewa maarifa na Mungu ndio kakutuma uyatumie vibaya?
Neno linasema "Iweni na kiasi..............."( 1 Petro 5: 8-10 ). Sasa inapokuwa ni mtu anataka "Kuzimaliza" au mpaka wahudumu wamwombe radhi kwamba sasa aondoke wanataka kufunga bar; hapo ni matumizi mabaya ya muda na fedha.
 
Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Mnavoongea as if pombe ndio sababu kuu ya umasikini lakin na wanywaji wanatajirisha matajiri, tajiri wa Azam je ni pombe zile zinamtajirisha, kila kitu kinamadhara yake sikuhiz. Kuna nchi ni marufuku pombe lakin umaskini upo palepale...

Hilo nalo neno. Litazamwe.
Ila pombe inachangia pakubwa sana katika umaskini. Hakuna mtu aliyetajirika kwa unywaji wa pombe. Never.
 
Ni
Hilo nalo neno. Litazamwe.
Ila pombe inachangia pakubwa sana katika umaskini. Hakuna mtu aliyetajirika kwa unywaji wa pombe. Neve

Hilo nalo neno. Litazamwe.
Ila pombe inachangia pakubwa sana katika umaskini. Hakuna mtu aliyetajirika kwa unywaji wa pombe. Never.
Ni sawa kaka pombe nayo inachangia umasikini, ila nimmpinga mtoa mada ameiterm pombe kama ni sababu kuu, kuna watu hata radha ya pombe hawijui ila wanakufa maskini kisa wanawake (ndugu yake pombe) kunawengine kamali, napia nimempinga mtoa mada kwamba wanunuaji wa pombe tunawatajirisha matajiri wa makampuni, swali ni je vitu vingine tunavyo nunua kwa matumizi hatuwatajirishi matajiri ni pombe tu ndo tunawatajirisha maboss wa hizo kampuni
 
Katika changamoto ambayo vijana wengi tunapambana nayo ni hii ya kuacha pombe binafsi napmbana sana niache, na siku hizi nimekua na hasira kila ninapo kunywa nakua mkali kweli kweli jamba linaloniogopesha hata usalama wangu mtu ukiwa na laki unaiteketeza ndani ya masaa kadhaa tu aisee inaumiza hii wakuu
 
Kuna vifo vya gafla sana vinatokea kwa walevi wa pombe haswa hizi kali, mnakunywa sumu, na vijana wengine wana maisha mazur tu na kaz nzuri wnaakunywa mataputapu, mnawapa utajiri wanaotengeneza hizo mataputapu huku nyie mkipata athari kubwa za kiafya , mnaacha familia zikitteseka,,ajabu ni kwamba hao wanaotengeneza hawajawahi kuzigusa
 
Back
Top Bottom