Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Uzuri 2080 mimi naww wote tutakuwa hatupo duniani..
Waiter leta mzinga!!!
 
Bado haileti maana wala kujifariji kua sababu wengine wana dhambi kubwa nyingi kwamba wewe uharibu afya yako iwembovu sana sababu kuna wengine wanafanya dhambi kubwa kama hizo ulizosema hapo...yeye atakua na msalaba wake wa kufanya anal sex (ufuska), na wewe unayekunywa sumu( vilevi) pia utakua na msalaba wako
Kila kitu kina utaratibu wake . nakunywa pombe tena kali over 30 years now
 
kunywa pombe kama maji wewe! acha uoga. hapa hakuna aliekuja kuilinda dunia, kila mtu afanye $TAREHE na ANA$A anayoipenda.
 
Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Hata wale wa kariakoo kuna ambao hawajawahi kunywa hata juice za kopo achilia mbali pombe na yawezekana wengine ni mabikra hawajawahi kutiana ila wamekufa, ndungu maisha ni fumbo na hayana kanuni, unaweza dhani unalinda ini lako kwa kuto kunywa pombe ukaja kufa kwa homa ya ini.
 
Muda Fulani msongo na kukata tamaa ya kufanikiwa zaidi hupelekea Hali hizo, but Mimi binafsi kuacha pombe kazi ipo, nahofia kopoteza kundi kubwa la marafiki




Mhhh we jamaa noma
Unajua, tunatakiwa twende kwa data..!! Watu wanashupaa kutangaza madhara ya pombe, wakati madhara hayo hayo wasiokunywa pombe yanawapata pia..!!
 
Mleta mada ana haki ya kusikilizwa yeye anatoa tadhari tu.
Tatizo lililopo ni lishe.Mtu anakunywa pombe kali sana hajui mchana atakula chakula gani na cha aina gani mchana.
Hivi kuna nchi inatumia pombe kali kama Urusi? na Vodka yao.
Wenzetu kabla ya kunywa unakuta amekula turkey au tuseme bata mzinga na akinywa anakunywa kwa toti kidogo.
Sisi huku bongo mtu anapiga valeur kama wewe unavyokunywa maji.
Serikali yetu tuishukuru kuliona hili wakapiga marufuku viroba japo vijana wamegundua vile vichupa vidogo.
 
asilima kubwa matajiri huzaliwa hawana pesa wachache huzirithi na hata hao pia hutumia akili kubwa kuzikuza, sasa point ya utafutaji pesa huanzia chini ukianza tuh visungura kwa kigezo hiki ndio kiwango changu wacha nilewe nakuhakikishia hutafika wine,na ukifika kiwango cha mvinyo wa bei ghali hutopata muda wakunywa au pengine ukapata huo muda mara moja kwa mwaka tena kwa kiwango kidogo hivyo hakuna tajiri mlevi kwani huo muda hana wakulewa
Matajiri unaowazungumzia no hawa wakina Lugumi tunaokesha nao kwenye tungi au matajiri gan hao?
 
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa watu wengine ..
Kufa ni kufa tu..!!
 
Back
Top Bottom