Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakosea sana.Kufa kwa uzembe ni tofauti na kufa kwa bahati mbaya.Kwa mfano leo wewe na mimi tumekufa, lakini wewe umekufa huku maini yako bado mazuri sana, na mimi nimekufa huku yangu yana matobo kisa pombe, MAINI YAKO MAZIMA HUKU UKIWA UMEKUFA YANA FAIDA GANI TENA?
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa..sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo kama.ajali n.k zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa mtu/watu wengine ..Unywe usinywe utakufa tu na kwenda kuwa msosi wa funza na mchwa afsa..
Hivi walevi kwa nini wakitaka kwenda mbele huwa wanarudi reverse kwanza? 😅😅😅walevi ni wapumbavu wa mwisho pombe ni mahususi kwa wapumbavu,losers kichocheo cha uwasherati ulioambatana na umasikini
Hivi utajuaje kwamba miaka yako umeipunguza? Unamaanisha kwamba kuna mtu anajua miaka yake ya kuishi?Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Walevi mpo wengi Sana humu ndani.shida ni kwamba pombe inaleta uraibu
ila wanasema bora ihalalishwe, ikipigwa marufuku italeta madhara zaidi
Ubaya wa pombe huja pale mhusika anashindwa kunywa kwa kiasiUtajifariji kwa kejel hizi ila acha pombe sumu acha kuwapa utajir wenye makampun ya pombe huku wewe ukiangamia na kuiweka familia kwenye mateso makubwa
Mkishazeeka ndio mnajifanya kuacha pombeHuwezi kupambana na Darwinian evolution, survival of the fittest, nowadays more mentally.
Pia, alcoholism inatambulika kama ugonjwa wa akili siku hizi, kwa hivyo unaweza kuwalaumu wagonjwa wenye uraibu wa pombe kama watu wanaoweza kufanya maamuzi rationally wakati hawawezi, ni mateja.
Sijagusa pombe kuanzia January 1 2024 na ninapanga kuendelea hivyo.
Hata Soda ukinywa uncontrollably utapata matatizo hayo hayo. Uwe na kiasi tu kwenye ulaji na unywaji wako iwe alcoholic drinks au soft drinks.Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Daah, akili imekimbilia kwa TYCOON wa K-VANT...jamaa pesa ipo nyingi sana...tangu enzi za Kiroba OriginalWasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Huyo tajiri Hafi?Wasaalam!!!!

Embu naomba uelezee mechanism ya pombe kali mpaka kuunguza ini mjulishaji.Wasaalam!!!!

Sijui watu wanataka tuishe au ndio Makerubi nini?Bila pombe kufa kuko pale pale
Kwanza huwezi kuthibitisha mtu kazeeka.Mkishazeeka ndio mnajifanya kuacha pombe