Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Na wewe umerudi palepale, hapo kwenye ufeki hapo kila kitu kina pacha wake feki..!! haya, hebu niambie, wanaokula chips zilizokaangwa na mafuta ya transformer wapoje..!!??Halafu pombe kali nyingi Tanzania ni feki na ni sumu halafu TBS wanapata chochote kitu na wenye Mamlaka hupata kijibahasha cha kaki.
Mwili hauna material ya chuma, hivyo ukinywa pepsi mwili hauyeyuki kama kiyeyukavyo chumaPeps Ina yeyusha chuma"
Coca Ina yeyusha kutu"
Ndugu mengine yaache tuu. Yesu mwenyewe alikuwa hanywi konyagi, Barimi, kihambule, komoni wala alikuwa hakaangiwi samaki, mboga wala kunywa maji ya jambo au kilimanjaro But Hayupo na aliishi miaka 32 tuu. So ACHA MAJUNGU. ISHI MAISHA YAKOWasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Watu wanatamani kuacha ila wakifikilia familia za wahudumu wa bar zitateseka, serikali itapoteza kodi nakadhalika wanaamua kuendekelea liwalo na liwe, kifo ni kifo tu, unaweza kuyatunza maini ukafa kwa malaria, ajali etcWasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
wao hukosa nguvu za kiume (wanaume wa DAAh) pia hawana uweza wa kutumia akili...mimba kuharibika...kansa,,,n.k.Na wewe umerudi palepale, hapo kwenye ufeki hapo kila kitu kina pacha wake feki..!! haya, hebu niambie, wanaokula chips zilizokaangwa na mafuta ya transformer wapoje..!!??
Sifa za mwanaume ni:
- Kazi ngumu
- Pombe kali
- Na wanawake wazee
Hivi kumbe pale k/k wanauzaga ugimbi tu humo ndani?Pale kariakoo waliokufa ni walevi tu kumbe!
Huo wivu sasaUnywe usinywe magonjwa utapata tu alafu haya mambo mnayakuza watu wako kwenye gemu miaka 20+ lakini bado wako vizuri tu
Unasema kuna anayejiwahisha kufa, hebu niambie, ukifa leo, unatumia kigezo gani kujua kwamba kufa kwako leo umechelewa, umewahi au umekufa wakati muafaka?Kigezo ni vile ninavyoona wanywa pombe kali wanavyopoteza maisha huku mimi ninaendelea kuishi.Ushaidi ninao na nikikutajia huwezi kuwajua.Sijivunii kuwa nawezakwepa kifo ila najivunia kuepuka tabia hatarishi ya ulevi wa pombe kali.Sijuo utakuwa umenielewa?
Tukiwaambia ukweli mnapendaga kutuzushia eti na sisi tunapendaga sijui nini.Kwani kupewa maarifa na Mungu ndio kakutuma uyatumie vibaya?Mungu mwenyewe angekua anajua kuwa pombe ni kitu kibaya basi asingewapa wanadamu maarifa ya kutengeneza pombe.
Afu nyie wanywa juice mnapenda K sana tunawajua vizuri.
Neno linasema "Iweni na kiasi..............."( 1 Petro 5: 8-10 ). Sasa inapokuwa ni mtu anataka "Kuzimaliza" au mpaka wahudumu wamwombe radhi kwamba sasa aondoke wanataka kufunga bar; hapo ni matumizi mabaya ya muda na fedha.Tukiwaambia ukweli mnapendaga kutuzushia eti na sisi tunapendaga sijui nini.Kwani kupewa maarifa na Mungu ndio kakutuma uyatumie vibaya?
Mnavoongea as if pombe ndio sababu kuu ya umasikini lakin na wanywaji wanatajirisha matajiri, tajiri wa Azam je ni pombe zile zinamtajirisha, kila kitu kinamadhara yake sikuhiz. Kuna nchi ni marufuku pombe lakin umaskini upo palepale...Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Hilo nalo neno. Litazamwe.Mnavoongea as if pombe ndio sababu kuu ya umasikini lakin na wanywaji wanatajirisha matajiri, tajiri wa Azam je ni pombe zile zinamtajirisha, kila kitu kinamadhara yake sikuhiz. Kuna nchi ni marufuku pombe lakin umaskini upo palepale...
Kama nimekuelewa hivi mkuu🙃🙃🙃Sifa za mwanaume ni:
- Kazi ngumu
- Pombe kali
- Na wanawake wazee
Hilo nalo neno. Litazamwe.
Ila pombe inachangia pakubwa sana katika umaskini. Hakuna mtu aliyetajirika kwa unywaji wa pombe. Neve
Ni sawa kaka pombe nayo inachangia umasikini, ila nimmpinga mtoa mada ameiterm pombe kama ni sababu kuu, kuna watu hata radha ya pombe hawijui ila wanakufa maskini kisa wanawake (ndugu yake pombe) kunawengine kamali, napia nimempinga mtoa mada kwamba wanunuaji wa pombe tunawatajirisha matajiri wa makampuni, swali ni je vitu vingine tunavyo nunua kwa matumizi hatuwatajirishi matajiri ni pombe tu ndo tunawatajirisha maboss wa hizo kampuniHilo nalo neno. Litazamwe.
Ila pombe inachangia pakubwa sana katika umaskini. Hakuna mtu aliyetajirika kwa unywaji wa pombe. Never.