Wanywa pombe kali huwa mnajiuliza swali hili mkiwa mnakunywa?

Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
Una uhakika gani kama unajipunguzia Miaka ya kuishi Kwa kunywa pombe.
Je, wewe unajua utaishi Miaka Mingapi Kwa kuwa hautumii Pombe?
All in all,
vipi aliyetoka msikitini, kanisani ,matembezini etc akielekea Nyumbani kwake Ghafla akiwa njiani anapata ajali kagongwa na gari, pikipiki etc anakufa, Je, kifo chake ni sahihi ndivyo Mungu alivyompangia?
Unavyoshauri sio Vibaya Pia ushauri wako usiwe Shuruti.
Ingekuwa waliokufa kwa Madhara ya Pombe Wanarudi kuishi tena ,Huu ushauri wako ungeliwafaa Sana.
Kabla haujafa haujaumbika.
Pia Pombe Sio Sumu, Wangapi walikuwa walevi ila hawakufa kwa athari ya Pombe.
 
kweli mkuu!!!
 
Jitahidi kudhibiti kiwango/kiasi/ cha pombe unachokunywa.
 
SAWA
 
Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Ukiendele na hii tabia huchelewi kuwa mchawi😊
 
Liver damage (Cirrhosis &Liver failure) haisababishwi na ukali (bitterness ) ya pombe, Kinachosababisha liver damage ni Chemical ya alcohol (CH 3 CH 2 OH) of any brand i.e beer, kangara, ulanzi, komoni e.t.c. "Liver Cirrhosis may develop after only a minimal alcohol intake over a short period of time, or, despite drinking considerable amounts over a life-time, never develop"
 
Unauwezo wa kuzuia kifo chako kwa asilimia ngapi mkuu? Unapambania kitu ambacho hata asili yake huwezi kuibadilisha?
 
Wewe usiekunywa una maghorofa mangapi hapa mjini tajiri😊
Basi kwa taarifa yako watu wasiokunywa ndio wanakuwa waasherati,wambea,wanywa kahawa majungu kwenye vijiwe na masikini.
Najua utasema waarabu ni matajiri sababu hawanywi pombe.Jibu ni kwamba utajiri wa waarabu ni wa asili toka enzi za MUNGU alivyokuwa anambariki Hajira mke wa Ibrahim mama yake Ishmael Jangwani.Hivyo baraka hizo zilikwenda kwa Ishmael na kizazi chake ambapo ndio waarabu sasa.
Halafu sijawahi ona mtu kanunua ndege au gari ajili tu sababu hanywi pombe.
Pombe ukiinywa with brain haina tatizo.Shida inakuja pale unapokunywa pombe inakutawala inaharibu ndoa na kazi yako.
 
Kwani wamekwambia wanataka kuishi milele?

I am alcohol free since January 1 2024. I am planning to make that a permanent thing. But I don't feel the need to preach "acha pombe".

That is a personal decision.
 
Tajiri kisukari anakitoa wapi?
Tajiri presha anaitoa wapi?

Hawa matajiri kwa nini wanaishia kumtangulia au kuongozana na mnywaji? Umeshawahi kujiuliza ukifa na maini safi Figo safi ndio umeshinda ?? Nauliza ndio ushindi?
 
Kwa nini utajiri wa waarabu una kafara ndani yake? Tena Watu mazezeta au kuua wanafamilia.

Source. Waliotumikia kazi za ndani Uarabuni
 
Mwisho wa siku unywe pombe usinywe pombe kudanja kupo pale pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…