Sumve 2015
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 4,563
- 4,227
Mungu anakuona..😅Ufe na Figo nzima ili iweje!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anakuona..😅Ufe na Figo nzima ili iweje!
Hivyo visungura sio pombe ni sumu nasijui kwa nini serikali imeviruhusu.nazungumzia walevi je tajiri namba moja duniani ni mlevi? ni tajiri gani unayemfahamu ni mlevi wa visungura
Umezaliwa umeikuta pombe na wewe utakufa utaiacha pombe .Sinywi sumu yoyote iwe soda ama pombe nakunywa maji.
Mada mezani ni pombe / pombe kali.
Hakuna faida yoyote ya pombe.
Una uhakika gani kama unajipunguzia Miaka ya kuishi Kwa kunywa pombe.Sio swala la.kuishi milele.mkuu. sumu hizo.zinaua
Sasa unywe sumu sababu unajua kua kuna kufa. Hio ni akili ama matope. Mungu amekubariki.kukupa miaka 80 ya kuishi, wewe unaipunguza kwa kusema sababu kuna kufa ngoja ninywe sumu(pombe kali).
kweli mkuu!!!Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Jitahidi kudhibiti kiwango/kiasi/ cha pombe unachokunywa.Wasaalam!!!!

Wewe usiekunywa una maghorofa mangapi hapa mjini tajiri😊walevi ni wapumbavu wa mwisho pombe ni mahususi kwa wapumbavu,losers kichocheo cha uwasherati ulioambatana na umasikini
SAWAWasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Ukiendele na hii tabia huchelewi kuwa mchawi😊Umaskin mkubwa sana mkuu..
Ila wenye kampun hizo za pombe wanaendelea kua matajiri, juzi kuna mmoja kanunua gari ya milioni 700 na wako huko.kwenye mitandao.wanayaonesha mafanikio yao makubwa
Hili jambo hua linanikasirisha sana
Liver damage (Cirrhosis &Liver failure) haisababishwi na ukali (bitterness ) ya pombe, Kinachosababisha liver damage ni Chemical ya alcohol (CH 3 CH 2 OH) of any brand i.e beer, kangara, ulanzi, komoni e.t.c. "Liver Cirrhosis may develop after only a minimal alcohol intake over a short period of time, or, despite drinking considerable amounts over a life-time, never develop"Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Unauwezo wa kuzuia kifo chako kwa asilimia ngapi mkuu? Unapambania kitu ambacho hata asili yake huwezi kuibadilisha?Hii mada haihusiani na usabato/walokole, mada pia haihusiani na peponi ama mbinguni,
Narudia hakuna justification ya kunywa vilevi ( sumu) pombe kali na nyingine, zaidi unampa utajiri mwenye kampun huku wewe ukiangamia kwa ulevi ..
Sikia nikuambie mzee, nature inasema kuna kuzaliwa kuishi na kufa , sasa ukifa unaenda wapi hio hakuna anaejua mana hakuna aliefika huko akarudi,,,sasa usi justify kunywa sumu sababu unajua kuna kufa, hizo zinazotokea ni uncertainities za kimaisha, you are at wrong place at wrong time, na kuna kufa kwa uzembe wako, kufa kwa kua muda umefika(Gods plan) na kuna kufa kwa uzembe wa mtu/watu wengine ..
Basi kwa taarifa yako watu wasiokunywa ndio wanakuwa waasherati,wambea,wanywa kahawa majungu kwenye vijiwe na masikini.Wewe usiekunywa una maghorofa mangapi hapa mjini tajiri😊
Kwani wamekwambia wanataka kuishi milele?Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
Tajiri kisukari anakitoa wapi?Wasaalam!!!!

Kwa nini utajiri wa waarabu una kafara ndani yake? Tena Watu mazezeta au kuua wanafamilia.Basi kwa taarifa yako watu wasiokunywa ndio wanakuwa waasherati,wambea,wanywa kahawa majungu kwenye vijiwe na masikini.
Najua utasema waarabu ni matajiri sababu hawanywi pombe.Jibu ni kwamba utajiri wa waarabu ni wa asili toka enzi za MUNGU alivyokuwa anambariki Hajira mke wa Ibrahim mama yake Ishmael Jangwani.Hivyo baraka hizo zilikwenda kwa Ishmael na kizazi chake ambapo ndio waarabu sasa.
Halafu sijawahi ona mtu kanunua ndege au gari ajili tu sababu hanywi pombe.
Pombe ukiinywa with brain haina tatizo.Shida inakuja pale unapokunywa pombe inakutawala inaharibu ndoa na kazi yako.
Mwisho wa siku unywe pombe usinywe pombe kudanja kupo pale paleWasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui, matokeo ya unywaji huo unaenda kuunguza maini yako na kukusababishia matatizo ya figo, ila kwa tajiri mwenye kiwanda ama hio kampuni anaendelea kua tajiri mkubwa, anajenga majengo ya hatari na magari ya kifahari, pesa ya kutosha iko benki..
Ila wewe huku unaangamia, mbaya zaid unakuta hata hakujui maskin ya Mungu wakat unaanza kwenda hospitali kufanya dialysis , tumbo limevimba, yeye huku anakula maisha, mbaya zaid yeye hatumii, yeye anakunya maji tu na kufanya mazoezi, mwisho wa siku unapata magonjwa kama kansa ya utumbo n.k, wewe ukiwa unakata roho yeye wala anakula.maisha bado. Ukiwaona huko.mitandaoni mixer kutoa shauri nasaha za maisha na jinsi ya kufanikiwa.
Kaa tafakari.
ACHA POMBE..
alaf anataka kuishi marefu wakati ugali wa kesho hajui atupatajeWewe usiekunywa una maghorofa mangapi hapa mjini tajiri😊
🤣🤣🤣alaf anataka kuishi marefu wakati ugali wa kesho hajui atupataje