DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Biashara ya pombe feki ni kubwa sana duniani na inafanywa na mamafia wakubwa. Wanachukua Ethanol wanachanganya na methanol sababu methanol ni bei rahisi na unapata stimu ileile. Tatizo la methanol ni sumu kali. Inaua ini macho nk. Kunywa pombe kali bongo hii ni kujitafutia shida tu, ni mara mia ukapige gongo kitaa kuliko kujidai unapiga siju Balck label.
Katika monde zote black label tu ndio ya kutolea mfano mkuu
 
Biashara ya pombe feki ni kubwa sana duniani na inafanywa na mamafia wakubwa. Wanachukua Ethanol wanachanganya na methanol sababu methanol ni bei rahisi na unapata stimu ileile. Tatizo la methanol ni sumu kali. Inaua ini macho nk. Kunywa pombe kali bongo hii ni kujitafutia shida tu, ni mara mia ukapige gongo kitaa kuliko kujidai unapiga siju Balck label.
Vipi sisi wadau wa K-Vant,Konywagi na Valuu?
 
Unakuta mtu anainanga pombe kumbe mvuta sigara[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] waislamu wanaonaga pombe ni dhambi huku wanavuta sigara....
Wanaona pombe haramu huku wanafanya zinaa tena unakuta mtu swala 5...
Bangi wanakuambia sio haramu ni makruu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bongo kwasasa kila kitu famba, pombe,soda ,nguo,vitoweo hadi mbususu famba tu sasa sijui km kuna kupona.
Labda uwe tu vegetarian ule matunda kwa wingi na viazi,maharage toka Mbeya original
 
Mkuu shida kubwa ninayoiona ni mazingira ambayo hizo pombe feki zinatengenezwa.... Yaani unaweza pata magonjwa maana mazingira hovyo kabisa.
Halafu mkuu unanunua Hennessy 180,000 kumbe imetengenezwa Buguruni kwenye sakafu.
Ndio huzuni inapoanzia
 
Back
Top Bottom