DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

DOKEZO Wanywaji wa pombe kali tuwe makini, kuna pombe kali feki nyingi nchini

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
tatizo mnapenda sna uzungu kwani ukinywa pombe ya ny umbani kama konyag unapungukiwa nini?. Ndo mwisho wa siku mnajikuta mnaanza kunenepa makalio
Wewe nawe sijui upo dunia gani, Konyagi si ndio ya kwanza kugushiwa, hiki unachokiona ni baada ya kupata uzoefu wa kufoji konyagi Sasa ndio wameamia kwenye pombe za wazungu.

Hii ndio sababu kuna watu wanalewa mpaka wanazimika na kesho hana memory yoyote kumbe sababu ni haya matakata yasiyo na tbs.
 
Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana.

Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing.
Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo, wakabisha, kuwaambia nanunua mohans zina filter wakasema na wao wamenunua mohans.

Nikawaambia isiwe kesi, warudi mohans wawaambie. Nikaiacha nikaondoka.

Wiki baadae napita mitaa, si nikawa mohans, nikawasimulia, mohans wakasema jamaa wa shoppers yeye ndo alijifanya mjanja, kakataa kununua kwao kaagiza container lake mwenyewe sauzi, kumbe kapigwa.

Nikarudi shoppers nikawaambia mohans kasema nyinyi hamkununua kwake huu mzigo, yeye zake zote zina filter,

Hapo shoppers ndo akakubali kunirefund, nikaenda kwenye shelf nikakuta zile chupa feki zote wametoa 🤣🤣🤣🤣🤣

View attachment 2523858View attachment 2523859View attachment 2523860View attachment 2523861View attachment 2523862View attachment 2523863
Sawa ila ndo uweke Uzi MMU?
 
Back
Top Bottom