Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je UK na Scotland? Kumbuka Scotland walipiga kura ya maoni kama waendelee kuwa ktk muungano wa UK au wajitoe na walipiga wao pekee yao na wala si pamoja wenzao yaani England,Wales na Northern Ireland na hivi sasa wanadai wapige tena mara baada ya matokeo ya kura za maoni za UK kuhusu kuendelea kuwa ndani ya EU,kwahiyo si kweli kuwa mshirika mmoja wapo akitaka kujitoa lazima na wale wengine eti nao wakubali ukiona hivyo hapo kuna kulazimishana kama huu wetuKuna tofauti kati ya UK na EU.
England Vs Scotland na si UK na Scotland. Ni sahihi Zanzibar kufanya referendum kuamuwa iwapo wanataka kuendelea na muungano au hawataki.Je UK na Scotland? Kumbuka Scotland walipiga kura ya maoni kama waendelee kuwa ktk muungano wa UK au wajitoe na walipiga wao pekee yao na wala si pamoja wenzao yaani England,Wales na Northern Ireland na hivi sasa wanadai wapige tena mara baada ya matokeo ya kura za maoni za UK kuhusu kuendelea kuwa ndani ya EU,kwahiyo si kweli kuwa mshirika mmoja wapo akitaka kujitoa lazima na wale wengine eti nao wakubali ukiona hivyo hapo kuna kulazimishana kama huu wetu
Sisi uislamu hatujisifu lakini ni wazi kuwa uislamu chini ya jangwa la sahara wameutapakaza wazanzibari. Si uislamu tu hata ukiristo chini ya jangwa la sahara nao ulianzia Zanzibar. Usichokijua usikiseme huwezi kuufananisha uislam wa Jamaica na Wazanzibar, Uislamu umeingia Zanzibar miaka 600 tokea ulipoanzishwa hata maeneo ya bara la Arabia bado.Unajisifia Uislam kuingia Zanzibar karne zaid ya kumi zilizopita lakin Mnazidiwa hata na Wiaslam wa Jamaica waliopokea uislam chini ya Miaka 10 iliyopita. Kuingia kwenu Uislam Znz Mapema kuna faida gani kama mnabaguana kwny Misiba kwa sababu ya vyama?hamzikani,hamuuziani n.k Waislam wa kweli hawachonganishwi kwa namna yeyote wakabaguana na kuchukiana. Rudi kasome Siiratu nnabiy ujifunze. Nyie Wazanzibar mnaudhalilisha Sana Uislam na hamfai kutumika kama Icon ya Uislam hata kidogo.
Nyie kwenu Siasa kwanza Dini baadae
UK inatokana na muungano wa England, Scotland, Wales na Ireland sasa Scotland wanataka waamue kama wabaki ktk muungano wa UK au la na si muungano kati ya Scotland na EnglandEngland Vs Scotland na si UK na Scotland. Ni sahihi Zanzibar kufanya referendum kuamuwa iwapo wanataka kuendelea na muungano au hawataki.
1.kuing'ngania Zanzibar na muungano;2. kuletamajeshi kuzuia demokrasia, 3.Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote ile;4. na Zanzibar haichangii gharama za muungano kwa makusudi, bado mnashikilia tu!Hebu taja hiyo shida.
Sijui hilo kwa sababu ni uongo. Taiwan hakuwahi kuwa na kura ya veto hata siku moja na angekuwa nayo basi china asingekubaliwa kuwa mwanachama wa Umoja wa Mataifa. Turufu ya veto alikuja kupewa china baadae.Naona we uko busy na Kiti tu. Naokuambia Hata China pale haina ni cha Taiwan na ile VETO ni ya Taiwan, hujui hilo. Pamoja na hayo, Taiwan haipo na haijulikani kwa wengi.
Tuendelee na siasa kama zitatusaidia.
Hatujaelewana Kitu kidogo sana hapa sheikh wangu.ninachomaanisha ni kwamba England ndio imeimeza Scotland pia visiwa vingine vya Wales na N.IrelandUK inatokana na muungano wa England, Scotland, Wales na Ireland sasa Scotland wanataka waamue kama wabaki ktk muungano wa UK au la na si muungano kati ya Scotland na England
Hujanijibu swali langu.shida ya watanganyika kuing'ang'ania Zanzibar wanataka nini? Samaki , Nyama, mahindi, ndizi mafuta, gesi, dhahabu, almasi au Kitu gani?1.kuing'ngania Zanzibar na muungano;2. kuletamajeshi kuzuia demokrasia, 3.Tutaulinda muungano kwa gharama yoyote ile;4. na Zanzibar haichangii gharama za muungano kwa makusudi, bado mnashikilia tu!
Nimeshangaa kubonyeza "reply" ikakubali, nilidhani ni zile "lecture series" za Pasco na Nguruvi na Jokakuu, kumbe wanakuja na huku kiumeni kwenye ma thread ya vurugu mechi na demokrasia...Hatujakuwa na demokrasia kama ya huko UK. Haiwezekani kiongozi wa Kiafrika awaongoze watu kupiga kura anayojua itaangusha kiti mfumo ulichokalia.
Jibu ni ulwa na kulinda maslahi.Hujanijibu swali langu.shida ya watanganyika kuing'ang'ania Zanzibar wanataka nini? Samaki , Nyama, mahindi, ndizi mafuta, gesi, dhahabu, almasi au Kitu gani?
Mko poa tu kwa vile nyie ndio watawala. Uongo muungano haukuumizini msingekuwa wakali kwa wazanzibari wanaoukataa Muungano. Zanzibar ina Katiba yake na hakuna katiba supreme dhidi ya nyengine. Neno zuri la kusema Katiba zinakinzanakwa nini Watanganyika tunataka Zanzibar ndio waitishe referendum, sisi tuko poa poa tu, hatuoni Muungano unatuumiza na sisi? Huku Bara tunalia kwamba Magufuli anavunja Katiba, mbona tunakubali Katiba kuvunjwa Zanzibar?
Huna hoja za msingi brother. Unaposema bandari zetu zote ziko chini ya Zanzibar unamaana kwamba sisi Tanganyika hatuna mpaka katika bahari ya Hindi ?. Pili unapozungumzia suala mafao ya wastaafu wa afrika mashariki hii imewagusa mpaka wastaafu walioko bara sasa nashindwa kuelewa Kwanini ionekane wazanzibari tu ndio wameonewa.Hi
Jibu ni ulwa na kulinda maslahi.
Eneo la bahari kuanzia Mombasa mpaka Kisiju ni la Zanzibar Channel,hivyo bandari zenu zote kuu zimo kwenye mamlaka ya Zanzibar na mlipaswa kuilipa Zanzibar kwa kila chombo kinachofanya safari zake katika eneo hili;
Kisiwa cha Latham ambacho kina utajiti wa mafuta gesi na vivutio vya utalii wa bahari ni mali ya Zanzibar na vinakaliwa kwa mabavu chini ya mwavuli wa Muungano.
Hisa ya gawio la East African Currency Board la Zanzibar iliomezwa na Tanganyika.
Mafao ya wafanyakazi wa Zanzibar waliokuwa wafanyakazi wa Jumuia ya Afrika ya Mashariki iliouliwa na mafao yao kumezwa na hazina ya Tanganyika badala ya kupelekwa hazina ya Zanzibar ingawa Zanzibar ilikuwa mwanachama huru.
Orodha ni refu na kwa sababu bara hawawezi kuyapatia ufumbuzi wanaona ni rahisi kuikalia Zanzibar chini ya mwavuli wa muungano
Du mkuu ccm ndo imekupofusha kiasi hiki...Kuamua kuichagua CCM kwa zaid ya 90% kwny uchaguzi wa March 20,2016 ni ushahid tosha wanahitaji kuendelea na Serikal mbili kwny Muungano wetu.