Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

Halafu utashangaa mbali na kuanzisha thread ya namna hii,Kuna mshkaji atajitokeza inbox kwamba katika members wote jf huwa anatamani sana kukutana nawe uso kwa uso akufahamu nawe,utajifeel proudly ngoja nikaonane naye,watapiga likichwa hilo🥴🤒
 
Tatizo lenu n kutaka mawazo yenu yawe ya wengine, kwamba unachokiamini ww unataka na mwngn akiamini na asipokiamini unamuona n adui yako.
 
Wanajiona bora sanaaa washenzi hawa wanasahau kila mtu anahaki na uhuru wa kuamini anachokiamini.... Wameshikiwa akili na wanaharakati na wanajiona wajanjaaaaa.
Wapumbavu mno wamejaa humu wakipeana hope za kudanganyana.

Lissu yupo ndani kimchongo, kelele mitandaoni no action.

Mdude katekwa, kelele mitandaoni no action.

Polepole katekwa, kelele mitandaoni no action.

Wanachadema wengi watekwa/wameuawa, kelele mitandaoni no action.

Ndo mana samia anapata nguvu za kusema, hapatakuwa na nywinywi nywiii wala nywiii 😂
 
Na Wameshikwa masikio tu
 
29 usipige kura wala usiandamane.

Kaa zako ndani, muziki mnene, bangi yako, nyeto muda wote.

Upige kura, usipige.
Uandamane, usiandamane.
CCM bado wapo paleeeeeeeeeeee kutunyoosha.
Fact! Simshauri mtu aende kupiga kura lakini pia simshauri kujifanya muandamanaji kwa lengo la kufurahisha jukwaa.

Ukiuawa hatutakukumbuka hata kiduchi na utakuwa umekosa burudani ya kunyetuka ungali kijana.
 
Humu JF ili uonekane unajitambua ety uunge mkono maandamano, na ukiunga mkono kupiga kura unaonekana mpumbavu 😂

Na keyboard fighters hawana iyana, wao wanasepa na trending tuu, wanaunga mkono maandamano ili nao waonekane mashujaa.

Kwangu mm, anayepiga kura na anayeandamana wote ni wapumbavu, maandamano gani ety tukae tusubiri ifike 29 Ndo tuandamane huku adui anakupiga kila siku?
 
Back
Top Bottom