Waogope members wakali nyuma ya keyboards, wenye vitendo sifuri katika kipindi hiki

Humu JF ili uonekane unajitambua ety uunge mkono maandamano, na ukiunga mkono kupiga kura unaonekana mpumbavu 😂

Na keyboard fighters hawana iyana, wao wanasepa na trending tuu, wanaunga mkono maandamano ili nao waonekane mashujaa.

Kwangu mm, anayepiga kura na anayeandamana wote ni wapumbavu, maandamano gani ety tukae tusubiri ifike 29 Ndo tuandamane huku adui anakupiga kila siku?
Maandamano hayatasaidia kuusitisha uchaguzi hiyo tarehe 29.

Bora waandamane kabla ya hiyo tarehe ili kukazia madai yao, la sivyo, Kila asiyetaka kutiki akae nyumbani tu, akisubiri kutangazwa kwa chura kiziwi kama Rais mpya.
 
Mm nataka na ntaunga mkono maandamano kama yale ya Kenya, Madagaska na ya mwendo kasi pale Magomeni.

Hapakuwa na mbwembwe za mitandaoni, ghafla tuu kiliwaka na mabadiliko yakaonekana, sasa njoo huku Bongo kwa wapumbavu keyboard fighters, mnapanga kabisa ety tusubiri 29 Ndo tuandamane 😂
 
Huwa najiuliza iwapo members wa JF wanaishi Tanzania ya sayari nyingine ama sayari hii ya tatu (duniani).

Kama una roho nyepesi unaweza ukaandamana ukajikuta uko mwenyewe na Bangor lako ukaonekana popoma 😂
 
Halafu ukajikuta umepostiwa insta na TikTok na hastag ya ATASA ATASA 😂
 
Ukiziskiliza hizo Nyumbu unaweza kusema safari hii zinaua mtu ila ngoja siku hiyo kama utaona hata Nyumbu mmoja barabarani, siku hiyo zitajifungia ndani hata kazini hazitaenda zitaona ni bora kufa njaa zikiwa zimejificha juu ya dari kuliko kutoka nje.
 
Ni comedians kweli kweli 😀.
 
Vijana watakao andamana ni hawa hawa wanaovaa suruali chini ya makalio au kuna wengine?

Mkono mmoja umeshika suruali isianguke,utaandamana kweli?
 
Back
Top Bottom