Waombolezaji wengi wapuuza kuvaa Barakoa, wamedanganywa na nani?

Mkuu unadhani kuna umuhimu wowote wa kubadilisha hiyo ID ?
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Wacha tufe amekufa kamanda wetu sisi ni nani tusife
 
1.niambie serikali ipi inayokubali kukosolewa?.
2.nini chanzo cha watu kutekwa,kukamatwa,kufungwa na hata kupoteza maisha?.
kipi kilichowaponza kama sio UHURU ULIOPITILIZA?
Kwa kukosoa tu watu watekwe halafu ionekane ni jambo la kawaida tu !
 
Unajua maana ya DEMOCRACY? ukiweza kujua nini maana ya DEMOCRACY itakusaidia kujibu maswali yako mengine.
1.niambie serikali ipi inayokubali kukosolewa?.
2.nini chanzo cha watu kutekwa,kukamatwa,kufungwa na hata kupoteza maisha?.
kipi kilichowaponza kama sio UHURU ULIOPITILIZA?
 
Inawezekana kabisa wanakufa sana lakini Serikali hairipoti idadi ya maambukizi mapya na idadi ya vifo pamoja na kuombwa kufanya hivyo na WHO..
Nilisikia utabiri kama huu kuwa Watu watakufa sana baada ya ile Kili Marathon.
 
Mimi kiongozi wenu najua mengi, hayo mabarakoa yanatoka huko yamewekewa virusi vya korona
 
Baada ya kusema hivyo dunia ikaanza kulalamikia fake masks....

Alipopima papaya dunia ikaja kulalamika kuhusu kits kuwa infected na virus...

His power ya kuona vya gizani
Mimi kiongozi wenu najua mengi, hayo mabarakoa yanatoka huko yamewekewa virusi vya korona
 
Tusilazimishe watu kuvaa barakoa, haina maana sana kwa mazingira yetu ya kimaskini ya bongo.
 
Kwani walio vaa Barakoa Ulaya na Marekani ndio walio baki salama
Mbona pamoja na Lock down zao lakini Bado walikufa wengi
Sisi Bado Mungu Ali tulinda.
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Hii Nchi haina korona
Nenda Ulaya na Marekani
Wanao vaa Barakoa ndio Wanao kufa kila siku.
Sisi hapa Hilo janga halipo
 
Ndani ya uwanja wa Uhuru ambako mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania Dr Magufuli unaagwa waagaji karibu 95% hawavai barakoa wala hawaonyeshi kama wanafahamu kama kuna uwepo wa corona duniani

Hivi ni nani kawadanganya kwamba hakuna Corona Tanzania ?
Baada ya week ama mwezi tutashuhudia idadi kubwa ya vifo mfululizo baada idadi kubwa ya maambukizi kwa Asikari na waombolezaji waliofurika huko uwanja wa Uhuru bila tahadhari za barakoa kunawa mikono kupaka vitakasa mikono huku salam za kushikana mikono zikitawala ma kueneza maambukizi kwa kasi kubwa zaidi
 
Wamedanganywa na Marehemu mwenyewe hakutaka kwenda pekee yake, alitaka wapendwa wake wamfuate hata kabla hajazikwa kukamilisha kazi aliyotumwa na yule mwovu.
Hiki ndicho kitafuata kuna idadi kubwa watafariki baada ya siku chache kwani kuna maambukizi makubwa yamepenyezwa hapo
 
Mkuu in two weeks wiki ya kwanza na ya pili April maambukizi yataongezeka sana na baadhi kuishia kaburini.
unataka niambia wote waliokufa kwa corona walikuwa hawavai barakoa...? sizan kama barakoa ndio inaweza kukuweka mbali na corona, afu msitutishe,mtuache tuishi maisha yetu
corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine
 
Hiyo lock down ya Miezi 3 utakuwa una wahudumia Wewe?
Wali kuambia barakoa ndio Ina zuwia korona?
Mbona Nchi Zenye Lock down ndio Zina kiwango kikubwa cha Vifo?
Na barakoa Wana vaa kila siku
Acheni Maujinga ya PhD
Hii ni biashara tu nipo South Afrika hapa
Naona kila kitu
 
Marehemu anataka asindikizwe na wengi ndiyo maana covid 19 imesimama hapo hapo uwanja wa Uhuru ipate kuwanasa wengi ambao hawataki kuvaa barakoa
 
Acha ujinga wewe! Wapi nilipokutisha? Kama huna la maana la kuandika pita kimya badala ya kuonyesha ujuha wako hadharani.
unataka niambia wote waliokufa kwa corona walikuwa hawavai barakoa...? sizan kama barakoa ndio inaweza kukuweka mbali na corona, afu msitutishe,mtuache tuishi maisha yetu
corona ni ugonjwa kama magonjwa mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…