Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Watz Ni wabishi nduguMkuu in two weeks wiki ya kwanza na ya pili April maambukizi yataongezeka sana na baadhi kuishia kaburini.
Corona haiui kirahisi hivyo. Acheni kudanganya watu. Vaa Barakoa yako. Fanya mazoezi. Kwa mtu mwenye afya Ni mafua tu hayo mazito.
Kwa mimi niliyekaa huko 11-mpaka mwishoni mwa December 29.12 Kukata mitaa yote. Na kuhudhuria sherehe zote kuanzia ndoa mpaka kipaimara. Nk. Mipira mpaka ya mtaani Barakoa zangu 25 nilizokuja NAZo zikiwa kwenye bag nyumbani badala ya kuzivaa kama huku. Dar na kigoma na Bagamoyo sehemu nilizopita kama ilikuwa na corona Basi itakuwa ilifichwa kibiti. Mana nilipima huku kabla. Nikapima huko. Then nikapima tena huku Mara za kutosha lakini. Mimi na mke Wangu hatukuwa na positiv.
Inawezekana Sasa Labda Kuna mtu badala ya kutuletea Tz Mali Akileta corona yenye tabia ya peke yake. Mana wenzetu huko utaskia Corona lashindwa kupumua kafa. Sio rahisi namna hiyo. Ndo mana Kasema chunguzeni aina ye kirusi Chenu. Acheni kunyoshana vidole. Hivi kama kweli CHadema mna wanachama mill 28. wakivaa hawa Barakoa si Ntakuwa mmetuokoa watu Achane habari za marehemu na watu Wake. Nyie anzeni kuandika mauzi ya kuwahamasisha wanachadema kuvaa Barakoa na kupiga lockdown kama Sisi huku 3 months. Please. Itaneni tuanze Kesho. Kampeni vaa barakoa na back home total lockdown 3 months. Life would be very simple.
Wangekuwa hawashikiwi wangevaa, kwani humjui aliyekuwa anasema tanzania hakuna korona?watanzania wengi hawashikiwi akili jiongeze
Tumegubikwa na ujinga kwenye hili la corona
Waafrika tuna tatizo kubwa sana kwenye akili zetu, kuna watu mpaka leo wanakyambia mimi condom sivai, sijui akili zetu zimedumaa???
Ila sisi kumpoteza namba moja imeniuma sanaWajinga ni wale mnaowashabikia watengeneza kirusi na wanawafanyia biashara za barakoa, chanjo, vifaa tiba,sanda na majeneza. Mungu alivyo wa Neema kuu huko kwa ndio kawapukutisha vya kutosha. Mpaka mwezi 6 USA wanategemea wawe wamevuka vifo 1,000,000.
Kwa maoni yangu, kama uko sehemu ambayo ugonjwa unaoenea kwa njia ya hewa kama kuna watu wawili - mmoja amevaa barakoa na mwingine hajavaa - unadhani ni nani kati ya hao anaweza kuambukizwa au kuwaambukiza wengine kwa urahisi? Au kabla ya corona haijaja, siku zote tangu nikiwa mtoto tumekuwa tukifundishwa kuwa ukitaka kukohoa funika mdomo wako kwa kitambaa safi na kama huna tumia mkono au kiganga chako. Nikuulize pia: katika sehemu ambayo mtu anaweza kuambukizwa au kuambukiza ugonjwa unaoenea kwa njia hewa, kati ya mtu anayekohoa bila kutumia kitambaa (mkono au kiganga) na yule anayekohoa bila kujali, unadhani ni nani anaweza kuwaambukiza wengine kwa urahisi zaidi? Kwa hiyo, ingawa hizi njia hazimkingi mtu kwa asilimia zote (100), walau zinaweza kupunguza maambukizi kama zikitumika kwa usahihi. Hivyo, ni juu yako wewe mwenyewe kupima - kama unaona hakuna haja ya kuvaa barakoa usivae, lakini hakikisha huhatarishi maisha ya wengine kwa kutojali kwako. Na kuvaa barakoa ni njia mojawapo tu, njia zingine ni lazima zizingatiwe pia.Hivi ukiulizwa corona inazuiwa na mask unaweza toa sababu za kisanyasi ? nenda kasome Respiratory system then usome ni kiwango gani ambacho mwanadamu anatakiwa kuingiza na kutoa cha hewa na ukivaa mask ni kiwango chani cha hewa safi unaingiza na kutoa . Kumbuka ukivaa barakoa hewa unayotoa inakuwa blocked na hewa unayotakiwa kuingiza inakuwa blocked sasa unakuwa unaingiza mchanganyiko wa hewa.
Kingine kwa nini wagonjwa wa covid wanaitaji ventilator machine kwa sababu ya kuwasaidia kupumua ukiwa ww unadistarb mfumo wa upumuaji wa kujifunika mdomo na pua ? wenye matatizo ya Moyo, kisukari ,mapafu na figo nao wavae barakoa unadhani utakuwa unawaweka kwenye hatari kiasi gani?
Hili uonekane upo hai ni lazima pawepo na gas exchange ndo maana ICU lazima pawepo na ventilator ukikosa hewa dakika kadhaa tu umekufa
Pia unatakiwa kujua hili upumue vizuri mapafu yanatakiwa kufanya kazi yake vzr sasa ukiyapa kazi nyingine ya kuchambua oxygen and carbon dioxide kwenye mchanganyiko wa hewa ndani ya barakoa yako nadhani utakuwa huyatendei haki mapafu yako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naibu yule gwaji girl ndo kabisa ,ana mambo Kama ya mganga wa kienyeji.muda mwingi vituko mitandaoni na kujipost akila bata na bae wake.Sijui Kama mindset yake iko vizur Mana naona mauza uza tu
Kwanza unatakiwa kujua Corana haiambukizi kwa njia ya hewa yani kupumua corona virus ili kutoka kwa mwanadamu mmoja kwenda kwa mwingine kunaitajika kuwepo na third part ambapo ni contaminated area ambapo victim anagusaKwa maoni yangu, kama uko sehemu ambayo ugonjwa unaoenea kwa njia ya hewa kama kuna watu wawili - mmoja amevaa barakoa na mwingine hajavaa - unadhani ni nani kati ya hao anaweza kuambukizwa au kuwaambukiza wengine kwa urahisi? Au kabla ya corona haijaja, siku zote tangu nikiwa mtoto tumekuwa tukifundishwa kuwa ukitaka kukohoa funika mdomo wako kwa kitambaa safi na kama huna tumia mkono au kiganga chako. Nikuulize pia: katika sehemu ambayo mtu anaweza kuambukizwa au kuambukiza ugonjwa unaoenea kwa njia hewa, kati ya mtu anayekohoa bila kutumia kitambaa (mkono au kiganga) na yule anayekohoa bila kujali, unadhani ni nani anaweza kuwaambukiza wengine kwa urahisi zaidi? Kwa hiyo, ingawa hizi njia hazimkingi mtu kwa asilimia zote (100), walau zinaweza kupunguza maambukizi kama zikitumika kwa usahihi. Hivyo, ni juu yako wewe mwenyewe kupima - kama unaona hakuna haja ya kuvaa barakoa usivae, lakini hakikisha huhatarishi maisha ya wengine kwa kutojali kwako. Na kuvaa barakoa ni njia mojawapo tu, njia zingine ni lazima zizingatiwe pia.
Njia zinazoshauriwa na wataalamu wa afya ni hizi:
1. Safisha mikono yako mara nyingi iwezekanavyo. Tumia sabuni na maji, au 'sanitiser'.
2. Zingatia umbali wa kutosha kutoka kwa mtu anayekohoa au kupiga chafya.
3. Vaa barakoa mahali ambapo uwezekano wa kuwa na umbali wa kutosha kutoka kwa mtu anayekoa au kupiga chafya haupo.
4. Usiguze macho yako, pua au mdomo (na kama ukigusa angalia Na 1).
5. Funika pua na mdomo wako kwa kutumia kiwiko cha mkono au kitambaa safi kama unakohoa au kupiga chafya.
6. Kaa nyumbani kama hujisikii vizuri (kama unaumwa).
7. Kama una homa, kohoa na unashida ya kupumua, tafuta ushauri wa daktari.
Zingatia: kinga ni bora kuliko tiba.
Kwa hiyo, wataalamu wa afya unadhani wanatudanganya kwa kutushauri tuvae barakoa? After all, kama huvai ndiyo maana nasema hakikisha huwaambukizi wengine. Nadhani ndilo jambo la msingi.Kwanza unatakiwa kujua Corana haiambukizi kwa njia ya hewa yani kupumua corona virus ili kutoka kwa mwanadamu mmoja kwenda kwa mwingine kunaitajika kuwepo na third part ambapo ni contaminated area ambapo victim anagusa
Katika njia zote ambazo wataalamu wa afya wanasema ambapo ww umetaja 7 zote zinalenga kitu kimoja tu ambacho ni maji maji yanatoka kwa njia ya mdomo na pua na ndo njia ambazo virusi wa corona wanaingia kupitia sehemu hzo. Je huoni kwamba tunavaliswa barakoa hili kutuzuia tusiguse pua au mdomo?
Sasa tazama madhara ya kuzuia Respiratory system na Gas exchange hasa kwa wenye magojwa ya Moyo,Kisukari,Figo na kisukari? why turisk wagojwa wa magojwa hayo kwa hoja ya kuzuia mtu kugusa mdomo na pua je hatuwezi kutumia njia zingine kama kunawa mikono na kutumia vitakasa mikono (Hand sanitizer) kuliko kucheza na mapafu na organs zingine 27 ambazo kwa pamoja zinakamilisha mfumo wa upumuaji?
Umeongea point sana. Hakuna Corona na Magufuli hajafa kwa Corona.Hivi hujui mabarakoa ndio chanzo cha watu kukoswa hewa nzuri na kupelekea kufa?.
Tangu korona mpya ianze hapa soko la samunge arusha watu wanapumuliana, pikinik watu wanapumuliana lakini wako salama hadi leo.
Vaa wewe ambaye unaona inafaa kuvaliwa sio kuwalazimisha watu kuvaa vitu ambavyo wanaona vinawakosesha hewa.
Watu mitaani wanachangamana sanaa lakini hatuoni hiyo corona yako.
Mnaojifungia kwenye migari kila mara ndio mvae, sisi tunaotembea kwa miguu barakoa yanini?
Marehemu anataka asindikizwe na wengi ndiyo maana covid 19 imesimama hapo hapo uwanja wa Uhuru ipate kuwanasa wengi ambao hawataki kuvaa barakoa
cjawai na sontokuja vaa barakoa
Na hii yote ni kwa sababu wamewajengea watu woga. So people are dying of too much fearWajinga ni wale mnaowashabikia watengeneza kirusi na wanawafanyia biashara za barakoa, chanjo, vifaa tiba,sanda na majeneza. Mungu alivyo wa Neema kuu huko kwa ndio kawapukutisha vya kutosha. Mpaka mwezi 6 USA wanategemea wawe wamevuka vifo 1,000,000.