Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

Wapalestina Gaza wagaragazwa wenzao wanaangalia tu. Huu ni unyama

Mbona unyama wa kutisha ulianzishwa na hao hao Hamas 7/October ?

View attachment 2833662
A teenage Israeli girl caught by HAMAS while trying to escape from the Nova music festival on October 7, hands tied, after being raped.

This is just one of the women who were raped and burned alive while their hands were tied.
Utawaweza mayahudi kwa kusema uongo wewe .Kwanza taarifa zinaonesha wengi waliokufa kwenye hilo tamasha la muziki ni kutokana na makomjbora ya helkopta za Apache.
Huyo aliyevishwa bendera ya Israel yawezekana ni mpalestina wa Gaza na hatuna namna ya uhakika kujua.
Ukija Gaza tunaona viungo vya watu wanaouliwa na Israel mubashara kwenye runinga na wala si picha za makumbusho.
Kwenye hiyo picha hapo juu ni kitu gani kinaonesha kuwa alibakwa.Na kwanini wapalestina wabake wasichana wa Israel wakati huko kwao kuna warembo zaidi ya hao wanaotafuta waume na waliwawacha ili waende vitani.
 
Mbona unyama wa kutisha ulianzishwa na hao hao Hamas 7/October ?

View attachment 2833662
A teenage Israeli girl caught by HAMAS while trying to escape from the Nova music festival on October 7, hands tied, after being raped.

This is just one of the women who were raped and burned alive while their hands were tied.

Watakwambia ni propaganda za wazayuni. Hamas hawakuua raia.
 
Acha wapigwe hadi watoe hao magaidi Hamasi hadharani,Wakiendelea kuwakumbatia watafutwa woteee kama isemavyo 1Samwel 15.
 
Hamas ilishambulia Israel na kuteka Raia na mpaka sasa kuna raia wa Israel ambao wamebakia kama mateka mikononi kwa Hamas/Palestina na sioni ukilaani hilo.

Niseme tu, mpaka sasa Israel hana hatia yeyote juu ya damu ya wapalestina inayomwagika, na hata kama wapalestina wote watateketea hiyo damu itakuwa juu ya Hamas.

Uwezi ukashikilia raiya wa nchi fulani afu ukachekewa tu.

Wapalestina walitakiwa walitakiwa wajitenge na Hamas pamoja na kulaani kitendo cha Hamasi kuuwa na kuteka raiya wa Israel. Sasa kwa Kukaa kimya tafasiri yake ni moja tu HAMAS NA PALESTINA WANASHIRIKIANA
Huu ndio ukweli mkuu.
 
Achieni Mateka wasio na hatia.. Pumbavu.. kwa Hamas Arabs country wameshindwa kuwaunga mkono maana kuiga Matendo ya Mohamed sw katika karne hii hata Saudia Arabia hawezi kukuunga mkono japo ni uislam haswa uliofanywa na Hamas.. and kudanganya watu kwa kutumia Aljazeera na vi TV uchwara vya waarabu kuonesha Watoto wanaigiza kufa na kujipaka tomato source kila news washachoka.. na kupuuzia watafute njia nyingine tena even waandamanaji nchi nyingi washajua wanachezeshwa mziki na Hamas.. stage news foolish achieni Mateka wekeni Silaha chini. Muishi ugenini kwenye Land of Israel sons even Koran ime confirm
 
Wapi Qur'an imeconfirm hicho unachokusudia.
 
Tunakupa ushahidi uone kinachotokea sasa na kinatisha uje ung'amue kwa nini kitakachotokea huko mbele ya safari itakuwa ni machumo ya hiki tunachokishuhudia sasa.
Ingekuwa IDF tunaona wakiwagaragaza Hamas basi tusingekuwa na maneno mengi.Lakini kugaragaza raia na watoto lazima itasemwa na athari itatokea,

Kuuwa watoto, wamama, wazee na wagonjwa huo ni umama, na sio uanaume
 
Mbona JW ilifanikiwa kufukuza magaidi kule kibiti?!
Magaidi ni watu gani ? Kama Ugaidi ni Ideology tambua kwamba hata wewe kesho unaweza ukawa gaidi kutokana na fikra utakazopata kulingana na kuona labda kuna uonevu sehemu fulani...

Sasa kama kuna watu wanafanya recruitment kutoka kwa watu ambao wanakuwa brainwashed kuonesha uonevu wa aina yoyote hapo ni kuwaongezea pool ya recruitment..., alafu unajua kwanini kuna kitu kinaitwa Terrorists Cells ? Ni kwamba watu kama hawa hawana kiongozi; kiongozi wao ni ideology kwahio huenda mtu akafanya mambo ya ajabu bila kukutana na so called kiongozi yoyote wala kuwa na communication...

Hivyo kuepuka ugaidi ni kuonyesha kwenye Haki inatendeka na kukemea upuuzi na madhara kwa mtu / watu wowote wale no matter wanaitwa au wanatokea wapi unless otherwise tutakuwa tunaua mmoja na kudhalisha wanne...,
 
Inashangaza sana kuwa binadamu sasa wamekuwa na roho za kinyama sana kwa sababu wanyama ndio ambao mwenzao akiliwa wanakuwa na msaada mdogo sana japokuwa kwa umoja wao wangeamua wangeweza kumuokoa.

Kinachotokea Gaza kinalingana sana na unyama.Kiwango cha vifo vya wapalestina na kujeruhiwa ni kikubwa sana na huenda haijawahi kutokea katika dunia tangu kuumbwa kwake.Kule Hiroshima na Nagasaki wajapani walikufa wengi kwa mpigo lakini kutokana na aina ya silaha iliyotumika hata watu hawakuona mateso yale kiasi kwamba wangelaumiwa kwa kutokutoa msaada kwa wenzao.

Pale Gaza hali ni tofauti sana kwani Israel ni taifa lenye silaha nyingi za kisasa ikipigana na Hamas ambao ni wanamgambo silaha yao kubwa ikiwa ni RPG na makombora yanayoruka hewani kwa mfumo wa kizamani.Silaha nyengine inayowasaidia na kuwasukuma mbele Hamas ni kujua madhila yaliyowakuta wazazi wao na wenyewe ambayo wameona hakuna njia nyengine isipokuwa ni kufa huku wakijitetea badala ya kufa kitandani.

Muhimu tunachokizungumzia hapa ni vile ambavyo Israel inapiga na kuua na kujeruhi wanawake na watoto mpaka wagonjwa na kuvunja majumba yao waliyojenga kwa shida.

Wengine waliobaki hai mwanzoni walitakiwa wahamie kusini,maskini wengi wakatiii amri hiyo,lakini hii ilikuwa kama kuwacheleweshea adhabu zao au kuwapunguzia kwa wakati huo kwani hawakuwachwa huru moja kwa moja kutokana na mashambulizi hayo.

Baada ya muda sasa Israel imekuja kusini na kuwataka hata wale walio katikati nao wazidi kuelekea kusini mpakani na Misri.Maskini wapalestina wa rika zote wametii japo haikuwasaidia chochote kwani makombora yanaendelea kupigwa na kuuliwa kwa idadi kubwa kila siku.

Watu waliokuwa na utajiri na familia zao mara wanajikuta wamebaki wapweke na hata mikoba ya akiba zao imewapotea na wanajikuta omba omba na waokotaji kwenye magofu ili wapate cha kula bila kuchagua ubora.
Katika hali hiyo ya kusongamana kwenye kambi za wakimbizi au kwa ndugu waliobaki na majumba bado wapalesina hao wanatakiwa hapo walipo waende mashariki au magharibi ili itoe nafasi ya kuvurugwa muda mfupi ujao.kwa kisingizio kuwa hapo walipo kuna Hamas.Maskini wote wanatii na kukimbia bila kutaka kufanya mjadala kuwa hawajawaona hao Hamas.Wanafanya hivyo kwa kujua kuwa ikisemwa hivyo kinachofuata ni makombora ya kusambaratisha kila kitu.

Wakipata amri kama hizo ama kwa vipeperushi au namna nyengineyo wapalestina hukimbizana kwa miguu au kwa gari za punda ambazo wachache wamebaki nazo. Hata hivyo wale wanaochelewa kidogo hupatikana viungo vyao tu vilivyotapakaa baada ya kufa kwa mabomu.

Muhimu zaidi tunachotaka kukieleza ni kuwa huo ukatili unaofanyika unafanywa mbele ya macho ya walimwengu wote wa makabila na dini zote. Ukiondoa hisia za kidini basi kiubinadamu tu basi isingepaswa kufanyika mbele ya binadamu wengine.

Kama ni lawama basi tukisema tulaumu hizo lawama zitaanza kwa watu wenye imani moja na wapalestina ambayo ni uislamu na ambayo ni dini karibu ya raia wote wanaoizunguka Palestina na Israel kwa ujumla.Hiyo ndiyo dini ya viongozi wa nchi hizo.

Matendo ya kuuliwa na kuchomewa majumba waislamu wala hayapo na hayajaanza Palestina na Gaza yake pekee.Hayo yamefanyika sana India,Myamar na China.Japo kuna mengi yangeweza kufanyika kuokoa hali zile lalini kule yawezekana ikasemwa ni mbali na hata hayakuwa yakioneshwa wazi wazi.

Haya yanayofanyika Gaza katikati ya ndugu zao na bila kuchukua hatua yoyote ile hakuna namna ya kuyaelezea isipokuwa ni unyama ambao umeingia ndani ya mioyo ya binadamu.

Kuna wenye nyoyo za kinyama ambao wanaweza wakaleta maneno ya kejeli kwa kisingizio kuwa piga Hamas haoo! eti kwa vile walishambulia oktoba 7.Ukiondoa hisia za kinyama na mtuj akabaki na ubindadamu wake basi kwa kuangalia historia hakuna sababu ya kuilaumu Hamas kwa kushambulia na wala haipasi kuwalaumu kwa kutokuwa tayari kusalimu amri.

Lawama kubwa itabaki kwa unyama ulioingia ndani ya nyoyo za binadamu wa karne hizi zinazokariibiana na kiama.Kwa hali hiyo kama litatokea la kutokea kwa unyama wa binadamu basi asilaumu hali ya tabia nchi wala nini isipokuwa abaki kujutia na kulaumu nafisi yake aliyoibadilisha na kuwa ya kinyama.

View attachment 2833477 View attachment 2833479 View attachment 2833489 View attachment 2833481 View attachment 2833485 View attachment 2833487 View attachment 2833488 View attachment 2833491
Umeanza kulialia!! Tulikwambia
 
Magaidi ni watu gani ? Kama Ugaidi ni Ideology tambua kwamba hata wewe kesho unaweza ukawa gaidi kutokana na fikra utakazopata kulingana na kuona labda kuna uonevu sehemu fulani...

Sasa kama kuna watu wanafanya recruitment kutoka kwa watu ambao wanakuwa brainwashed kuonesha uonevu wa aina yoyote hapo ni kuwaongezea pool ya recruitment..., alafu unajua kwanini kuna kitu kinaitwa Terrorists Cells ? Ni kwamba watu kama hawa hawana kiongozi; kiongozi wao ni ideology kwahio huenda mtu akafanya mambo ya ajabu bila kukutana na so called kiongozi yoyote wala kuwa na communication...

Hivyo kuepuka ugaidi ni kuonyesha kwenye Haki inatendeka na kukemea upuuzi na madhara kwa mtu / watu wowote wale no matter wanaitwa au wanatokea wapi unless otherwise tutakuwa tunaua mmoja na kudhalisha wanne...,
Magaidi ni hamas wakifadhiliwa na Iran
 
Vita vya so called Ugaidi haviwezi kushindwa kwa Mabavu kinachohitajika na Knowledge na kuonyesha kwamba Haki inatendeka....

Kinachoendelea sasa ni kuzalisha HAMAS wengine at an exponential level; KInachofanyika sasa its for detriment to the future world peace
Yaani hapa ndio utajua kuwa kuwa mpole sio ujinga bali ni akili kubwa........kwa ujinga wa hamas wamesababisha mauti na majeraha yasiyo na idadi kwa raia wasio na hatia ..............kwa ujinga wa watu wachache tu.....haya kwa yaliyofanyika mlisema hamas kashinda je kachukua ardhi yake ?? Au bado yuko kwenye tobo anamuogopa myahudi
 
Huwezi wamaliza magaidi bila damu za raia wasio hatia.
Yamefanyika Iraq kuwamaliza ISIS yamefanyika Syria kuwamaliza ISil wanakufa wachache kwa faida ya wengi
 
Alwaz umeandika mada yako Kwa uchungu mkubwa Sana mara nyingi huwa nasoma mada zako ila leo naona upo deep Sana.
Huu uchungu ulio nao umenikuta nami pia juzi baada ya Israel kupiga kambi ya wakimbizi kwa siku mbili mfululizo nilikuwa naangalia watoto wadogo kama wanangu jinsi wanavyokufa na kupoteza wazazi wao kwa kweli inaumiza

Kwa upande Fulani hizi shida ambazo wapalestina wanapata zinatokana na waarabu wenzao wenye nguvu Kati ya Iran na Saudi Arabia kutoelewana kiimani,kiitikadi na kisiasa, ebu fikiria hawa jamaa wangekuwa ni kitu kimoja kama ilivyo USA na nchi za magharibi hii dunia ya waarabu ingekuaje? Ni nchi Ipi ingeweza kugusa muunganiko wao kiuchumi,kijeshi na usalama?

Tatizo kubwa la waarabu ni kubaguana wao kwa wao Kwa misingi ya kiimani Kwa kifupi hawana tofauti na Sisi waafrica... angalia jinsi wazungu walivyoweza kuwagawa waarabu kiuchumi yaani zile nchi zote ambazo wazungu ni marafiki wao ziko vizuri kwa kila sekta na zile ambazo Iran anazisaidia ni vita tupu
 
Tunakupa ushahidi uone kinachotokea sasa na kinatisha uje ung'amue kwa nini kitakachotokea huko mbele ya safari itakuwa ni machumo ya hiki tunachokishuhudia sasa.
Ingekuwa IDF tunaona wakiwagaragaza Hamas basi tusingekuwa na maneno mengi.Lakini kugaragaza raia na watoto lazima itasemwa na athari itatokea,
Vita hainaga macho!
 
Write your reply...ugaidi wa waarabu kama hamas ni wakipumbavu sana..hawa jamaa siwapendi na mashabiki zao hawaeleweki mara washangilie mara waanze kulia lia kama watoto...dadeq si tumetulia tunawachek tu
 
Back
Top Bottom