Logikos
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 15,460
- 24,233
Kesho wakija wanaoitwa Pro Palestinians wakifadhiliwa na watu wasiopenda Israel wataacha kuwa magaidi ? Ndio maana nikakwambia ukipigana vita na Jeshi unajua nani wa kumaliza ukipigana vita ambavyo ni ideology, unapigana na invisible enemy kwahio mabavu ni last resort sio mzuizi...;Magaidi ni hamas wakifadhiliwa na Iran
Mfano Osama waliopiga Ubalozi wa Tanzania na Kenya hata Osama walikutana nae ?; Watu wanaopigana kwa Jina la Muumba wao Je ni kweli Muumba wao anahitaji msaada ?; Hivyo utaona kwamba hao watu na wengine wote wakikemea kwamba Kumaliza Raia mmoja haina justification ya aina yoyote au sababu hawa wanataka Taifa lao Huru la Palestina wakiwapa hilo Taifa huenda wakiendelea kudai wataonekana ni wakorofi (Kama ambavyo kila mtu ali-condemn Ubalozi wa Kenya na Tanzania ulivyopigwa Bomu)