Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Nilichogundua waislamu wengi ni maamuma ,hamjui jinsi Allah wenu anavyowatambua Wana wa Israel,

Allah wenu kwenye Quran hawajui WAPALESTINA

Hii mada hamuiwezi nileteeni Mufti mkuu
 
Si unaona walikuta watu kwenye hizo aya ulizotoa,hao watu ni akina nani?..kama walivunja masharti ya kupewa hiyo nchi,kivipi bado unang'ang'ana ahadi bado ipo?..unadandia tu vitu toka mtandaoni bila tafakuri
Haya Leta Aya Allah akiwanyang'anya Ardhi waisraeli na kuwapa WAPALESTINA
 
Kwani huo waraka ndio Biblia? Yeye katoa maandiko ndani ya quaran, na wewe lete maandiko ndani ya Biblia yake sio mambo ya waraka wa Papa ambao ni kama gazeti tu.
Papa ni muakilishi wa Yesu hapa duniani. Akisema papa amesema Yesu. Akitenda papa ametenda Yesu.
Angalia vizuri kibaraghashia chake kile kimeandikwa nini.
 
Ukitumia Quran hupaswi kutumia historia inayohaririwa kila siku,hasa toka kwa wanaojiita wayahudi au biblia ambayo kila mfalme aliihariri,makabila 12 ya Wana wa israel unayajua,siyo race?..hata kama makabila hayo hayapo,Wana wa yakobo bado siyo race?
Quran 61:5,musa ni mtume wa Allah,mtume wa Allah ni dini gani?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-02-07-22-32-40-798.jpg
    247.1 KB · Views: 2

Allah wako anawatambua wenye Ardhi ni Israel

Leta ww Aya kuwa anawatambua WAPALESTINA

Acha porojo
Wapi aya hapo katika Quran imeongelea kuwa ardhi ya Wapalestina ni ardhi ya Waisraeli ?
Acha kukurupuka
 
Wauhame halafu waende wapi ambako hakuna mkanganyiko? Utatu mtakatifu nao ni utata mtupu!
 
Haya Leta Aya Allah akiwanyang'anya Ardhi waisraeli na kuwapa WAPALESTINA
Wewe Mungu wako akikwambia ingia nchi ya wazaram akupe iwe yako kwa masharti maalum,ukishindwa kufikia hivyo vigezo na masharti ya kuchukua nchi ya wazaram,bado utahitaji andiko lisemalo nchi ya wazaram ni nchi wazaram!?
 
Fuatilia jinsi bible ilivyojichanganya kwenye kila kitu
 
Kumbukumbu la Torati 16:20

"Yaliyo haki kabisa ndiyo utakayoyafuata, ili upate kuishi na kuirithi nchi upewayo na Bwana, Mungu wako."


Zaburi 37:29
"Waadilifu wataimiliki nchi, na wataishi humo milele."


Quran 21:105
Mungu anasema kuwa

"Na hakika tulikwisha andika katika Zaburi baada ya Kumbukumbu, ya kwamba nchi watairithi waja wangu walio wema."

Ardhi ya Palestine itarudi katika mikono ya Waislam
 
Si unaona walikuta watu kwenye hizo aya ulizotoa,hao watu ni akina nani?..kama walivunja masharti ya kupewa hiyo nchi,kivipi bado unang'ang'ana ahadi bado ipo?..unadandia tu vitu toka mtandaoni bila tafakuri
Anayekudanganya walinyang'anywa ,muulize akupe Aya walipewa kina nan
 
Mbona unahangaika wewe mlokole,mikataba ya 2019 inahusiana vipi na utume wa mtu wa 570?..palikua na uwawaru hapa tz 1990s,pana umoja wa amani wa dini na madhehebu yote tz,shida nini?
 
Wewe Mungu wako akikwambia ingia nchi ya wazaram akupe iwe yako kwa masharti maalum,ukishindwa kufikia hivyo vigezo na masharti ya kuchukua nchi ya wazaram,bado utahitaji andiko lisemalo nchi ya wazaram ni nchi wazaram!?
Leta Aya kuwa Ardhi ilikuwa ya WAPALESTINA

Mbona huna Aya halafu hakuna Aya walinyang'anywa Ardhi ni mnaungaunga tu
 
Mbona unahangaika wewe mlokole,mikataba ya 2019 inahusiana vipi na utume wa mtu wa 570?..palikua na uwawaru hapa tz 1990s,pana umoja wa amani wa dini na madhehebu yote tz,shida nini?
Uislamu ni plan B ya Ukatoliki

Nani kakuambia mm mlokole ? Mm sio mfia dini kama nyie
 
endelea na aya zinazofuata zinazoelezea agano walilolifanya na Mungu na ufisadi walioufanya mpaka kikawakuta kilichowakuta.

Quran ipo wazi kabisa huna pa kuichafua
 
Kwahiyo Alaumiwe Allah si ndio ?

Maana ndiye anayesema hayo maneno

Basi Firauni akataka kuwafukuza katika nchi. Kwa hivyo tukamzamisha yeye na walio kuwa pamoja naye wote.
Kwa mujibu wa Quran,ni nchi gani hapo ambayo inazungumziwa ?
 
Je baada ya kufadhilishwa zaidi ya watu wengine walifanya mambo gani pindi walipoletewa mitume?
 
Fahamu kwamba Israel asili yake haikuwa Nchi na haijawahi kuwa Nchi mpaka mwaka 1948 baada ya vita ya pili ya dunia wazungu wa Britain wakalitangaza hilo Taifa la Israel.

Israeli si taifa. Ni jina la Mtume. Nabii huyo ambaye baba yake aliitwa Yakobo, Wana hao wa Israeli walijulikana kuwa makabila 12 ya Israeli. Watu hawa wanaunda wale tunaowaita "Mayahudi" siku hizi, lakini Kiislamu wanaitwa Wana wa Israili, hivyo ndivyo Allah S.W.T anawaita. Neno Israeli halijawahipo kuhusishwa na serikali ni jambo jipya.

Narudia tena Israel ni Jina maalum la Nabii Yakub (AS) alilopewa na Allah (SWT). Haina uhusiano wowote na Nchi ya Kishetani ambayo imelitumia vibaya na kuliteka nyara jina la Nabii wa Mungu.

Umetumia muda mwingi kwenda kwenye Quran tukufu na kuleta hapa baadhi ya aya ingawa ziko na nyengine nyingi umeziacha, lakini katika aya hizo zote ulizoleta na ulizoziacha hakuna mahali zinatafsiri kwamba Israel ni Nchi (State) never (بَنِي إِسْرَائِيلَ) hili neno bani Israel maana yake ni watu wa ukoo Prophet Yakub na si (Nchi/State)

Hao kina Netanyahu na wenzake waliletwa hapo kwenye ardhi ya Palestina kama Diaspora baada ya hiyo vita ya pili ya dunia na kuanza kukatiwa vipande vya ardhi kila siku wanasogea mbele mpaka sasa zamai hizi imefikia halii hii uionayo. na wameletwa hapo kimkakati ili Nchi za ulaya na marekani waweze kupata mahali pa kudhibiti dola za kiarabu (Mashariki ya kati) kutokana na raslimali walizonazo walizobarikiwa lakini pia kujaribu kudhibiti mataifa ya kiislam yenye nguvu duniani na kupenyeza mila zao za kishenzi ili kuwavuruga waislamu.

Nafkiri baada ya kuapta muda kusoma maelezo haya hutakuja tena hapa na kasumba zako kama ulivyolishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…