Shida ww elimu huna ,kaa hapa ujifunzeSasa hapa umekataa nini ?Palestina ni eneo , unaandikaa maneno mengi ambayo hayana msingi hata kidogo , lile ni eneo ambalo lina watu wa makabila mbali mbali wenye asili zao , siku nyingine acha kupoteza nguvu kwa vitu vyepesi
Huwezi kunifundisha chochote kama mpaka leo hujui kuwa Palestina ni eneoShida ww elimu huna ,kaa hapa ujifunze
Plan b kivipi?..ukatoliki Mungu ana nafsi tatu,miungu watatu,yesu mwana wa Mungu,mtu ni mfano wa Mungu, uislam Mungu hafanani na chochote,hana mshirika,lete vitu vyenye mantiki kuthibitisha madai yakoUislamu ni plan B ya Ukatoliki
Nani kakuambia mm mlokole ? Mm sio mfia dini kama nyie
Hao kwanza sio manabii na hawahusiani na uislamu
Uislamu umekuja mwaka 600s AD Na Muhammad
Katika kukataa kwao kuingia hiyo nchi walisema mpaka hao watu waliomo humo waondoke, kwenye biblia kule walikua concerned na ukubwa wa dhakari za watu waliokua katika hiyo nchi,hao watu akina nani?..na walienda wapi?..kama waisrael hawakufikia vigezo na masharti ya kupewa hiyo nchi,kivipi bado wawe na madai ya hiyo nchi?..maana yake wale wsliokuwepo mule wanaendelea kubaki na nchi yaoLeta Aya kuwa Ardhi ilikuwa ya WAPALESTINA
Mbona huna Aya halafu hakuna Aya walinyang'anywa Ardhi ni mnaungaunga tu
Yesu si fundi seremala
Ibrahim katoka israel na alikua myahudi?.. israel si ni yakobo, kabla yake hapakua na mitume/manabii!?..we hujui chochote unabwabwaja tu!Basi umedanganywa
Mitume wote wanajulikana Hadi koo zao, mitume wote wametoka katika Israel na walikuwa wayahudi
Usipende kila kitu unachoambiwa unameza tu
Uislamu umekuja na Muhammad
Kabla ya Muhammad hakuna kitu au dini ya Uislamu,
Sio baba yakeYesu si fundi seremala
Ibrahim mwarabu wa iraqHizi ni porojo zenu ili kuwashobokea
Muhammad yupo tofauti na mitume na manabii wa Israel waliokuwa wayahudi
Hawaendani hata kidogo
Muhammad kazaliwa huko Uarabuni akapewa utume na Waraq padre na , Mkatoliki bi Khadija
Yeye mwenyewe alikua fundi,alimchongea mwamba mmoja stuli,dizaini aliiba na mbaoSio baba yake
Israel siyo nchi, ni raceQuran imeidikwa kuhusu Israel mara nyingi lakini Wapalestina hawajatajwa hata mara moja.
We umejuaje mambo hayoYeye mwenyewe alikua fundi,alimchongea mwamba mmoja stuli,dizaini aliiba na mbao
Sasa Wapalestina ni nan! Mbona Quruani haiwatambui.Israel siyo nchi, ni race
Naomba na mstari wa kutengeneza stuli
Quran siyo kitabu cha jiografia au tawala za mikoa na serikali za mitaaSasa Wapalestina ni nan! Mbona Quruani haiwatambui.
Mcenge nini,simu yako ina kazi gani!?Naomba na mstari wa kutengeneza stuli