Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Wapalestina ni wavamizi kwa mujibu wa Quran

Quran siyo kitabu cha jiografia au tawala za mikoa na serikali za mitaa
Ndio shida ya kukopi kazi za watu Quruani ilikopi vitabu vilivyokuwepo kipindi hicho na kutokana na watu kipindi hicho asilimia 90 walikuwa hawajui kusoma sasa ndio maana wanaamua kulida Dini kwa Silaha 😁
 
Inahusiana vipi na kuwa kitabu cha jiografia?!..halafu mbona argument yako haina muunganiko, Quran ilikopi nini,huko ilikokopi kumesema wapalestina ni akina nani!?.. punguza kushinda mitandaoni,akili inakua butu
 
Ibrahim katoka israel na alikua myahudi?.. israel si ni yakobo, kabla yake hapakua na mitume/manabii!?..we hujui chochote unabwabwaja tu!
Sio waislamu na hawahusiani na uislamu

Acha kushobokea wayahudi hao wana history Yao ,nyie nendeni kwa makureshi
 
Inahusiana vipi na kuwa kitabu cha jiografia?!..halafu mbona argument yako haina muunganiko, Quran ilikopi nini,huko ilikokopi kumesema wapalestina ni akina nani!?.. punguza kushinda mitandaoni,akili inakua butu
Alamsiki
 
Inatambua tanzania au tanganyika?..kuna saudi arabia ndani ya Quran?..nyie mapunguani sana
Hiyo sio hoja hapa mbona unabadilisha

Leta Aya Quran inawatambua hao WAPALESTINA

Acha porojo
 
Kwa mujibu wa Quran Wana wa israel ni race na si dini, Quran inasema musa ni mtume wa Allah na ni muislam na si myahudi,kwa misingi ya Quran uyahudi ni imani/dini,kwa hivyo netanyahu na wayahudi wenzie ambao ni wazungu wa poland na ukraine siyo Wana wa israel na hawahusiki na hizo aya za Quran,hata DNA zao siyo za kisemitiki(semitic)
Wakati wa Musa hata ukristo haukuwepo.
 
Quran inasema uislam ulianza tangu enzi za adam..!

Hizo ni hisia zako tu. Jabla ya Muhammad hakukuwa na uislam. Maana msingi wa uslam ni kuruwan, na kutuwan haikuwepo mpaka kipindi cha nabii Muhammad. Hii ni fact kwa kuwa hwkuna maandishi yoyote yanayothibitisha uhusiano uliopo kati ya Adam na nabii Muhammad
 
Papa ndiye muanzilishi na Engineer wa dini ya Uislamu

Ukatoliki ndio walioanzisha uislamu wakimtumia Muhammad

Padre Waraq na bi Khadija aliyekuwa mkatoliki ndio waliompa utume Muhammad
Hapa ndugu zangu waislam wametiwa Giza la ufahami, Mimi hua na waambia hata taratibu zao za kiimani zinashabihiana wanabaki kuduaa
 
Wewe Mungu wako akikwambia ingia nchi ya wazaram akupe iwe yako kwa masharti maalum,ukishindwa kufikia hivyo vigezo na masharti ya kuchukua nchi ya wazaram,bado utahitaji andiko lisemalo nchi ya wazaram ni nchi wazaram!?
Unaanza kutokumwamini Allah mkuu, unayemwamini ndiye aliyewaambia Israel warithi wa hiyo nchi

Inakuwaje wewe usiamini hilo chief?
 
Duh! Kumbe hamisi ulishahama siku nyingi
Nilihama siku nyingi baada ya kuujua ukweli, niliukana uislamu pale MSIKITI wa mji mwema ,Kigamboni siku ya ijumaa baada ya Swala
 
Back
Top Bottom