T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Aljazeera wameonyesha video iliyoonyesha malfunction ya kombora la Hamas likidondoka eneo la hospitali.Wewe ndio wenye roho ngumu kama hao wayahudi.Kombora la kuuwa watu mia tano ni wazo la kuona wengine ni wajinga sana kuelewa.
Kombora hilo linaruka namna gani likauwa watu kutoka chini ya Ardhi.Lazima litoke angani na kutoka ndege zenye kubeba mabomu ya nguvu kubwa.Vfaa hivyo Hamas hawana.na hata kama wanavyo hawawezi kufanya unyama huo kwa wagonjwa na madaktari.
Alafu Israel imekata maji yake, maji imeyakatia nchini kwake haijaenda Gaza kufunga mabomba. Kama mna teknolojia ya kuunda maroketi kuweni na teknolojia ya kuleta maji yenu wenyewe.
Na chakula hakipiti, Tanzania ilipokuwa vitani na Uganda bandari yetu haikupitisha bidhaa zao. Na hakuna kuleta msaada, ni blockade mpaka akili zirudi kwenye kujitambua kwamba huwezi ishi kwa kutegemea viroketi uchwara na mashambulizi ya kigaidi.