Kama hayo ndiyo maagizo ya Qujr'an na naamini hujayaelewa vyema.Pamoja na hivyo jee wewe unataka kupingana na mipango ya aliyetuumba sote yenye hekima zilizo nyuma na mbele yetu?
Huyo Aliye Agiza hapo hajaumba chochote hadi Anaapia kwa ALIYEUMBA dhakari na kile cha kike! [emoji15][emoji12]
Na makazi YAKE ni jehannam! [emoji91]
[emoji116][emoji116]
Surat Al-Lail
Ayah: 1
وَٱلَّيۡلِ إِذَا يَغۡشَىٰ
Naapa kwa usiku unapo funika!
Naapa kwa usiku kinapo enea kiza chake!
Ayah: 2
وَٱلنَّهَارِ إِذَا تَجَلَّىٰ
Na mchana unapo dhihiri!
Na naapa kwa mchana unapo zagaa mwangaza wake!
Ayah: 3
وَمَا خَلَقَ ٱلذَّكَرَ وَٱلۡأُنثَىٰٓ
wama khalaq ٱldhakar walununthaa
Na kwa Aliye umba kiume na kike
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ
رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا
(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote
katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
Na allah mwenyewe maskani YAKE jehannam! [emoji91]
Kama unabisha weka ushahidi Kama allah aliutoa mguu wake MOTONI! [emoji91]
[emoji116][emoji116]
Sahih al-Bukhari » Ufafanuzi wa Mtume juu ya Qur'an (Tafsiir ya Mtume (SAW)) - كتاب التفسير » Hadithi 4848
كتاب التفسير65 Ufafanuzi wa Mtume juu ya Qur'an (Tafsiir ya Mtume (SAW))
(1)Kauli ya Allah. "...Itasema (Jahannam): Je! (Mst.50:30)(1)باب {وَتَقُولُ هَلْ مِنْ مَزِيدٍ}
Sahih al-Bukhari 4848
Anas alisimulia:
Mtume (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: "Watu watatupwa Motoni na itasema: Je! (50.30) mpaka Allah aweke mguu wake juu yake, na itasema: Qati! Qati! (Inatosha!)'"
حَدَّثَنَا عَبْدُ اللَّهِ بْنُ أَبِي الأَسْوَدِ، حَدَّثَنَا حَرَمِيٌّ، حَدَّثَنَا شُعْبَةُ، عَنَنَا شُعْبَةُ، عَنَنْ ضى الله عنه ـ عَنِ النَّبِيِّ صلى الله عليه وسلم قَالَ " يُلْقَى فِي النَّارِ وَتَقُولُ هَّلْ مِنٍ مَتَقُولُ هَّلْ مِنٍ مَتَحَتَحِي. دَمَهُ فَتَقُولُ قَطِ قَطِ ".
Rejea: Sahih al-Bukhari 4848
Rejea ya ndani ya kitabu: Kitabu cha 65, Hadithi ya 369
Kama unabisha muanzilishi wa Maagizo hayo Maskai YAKE Sio MOTONI! [emoji91]Tuwekee ushahidi alipo toa mguu wake motoni ! [emoji101][emoji101]