Wapalestina wamepata ushindi mkubwa vita ya Ghaza mpaka sasa. Nini kimepelekea ushindi wao huo?

wewe kumbe ni mshabiki maandazi!!!madai ya hamas au kamasi na hizibollah ni kukalia jerusalem. haya wafanyayo leo na jana ni kulilia jerusalem. Sasa kama kamasi kashinda swali ni nani kakalia jerusalem? msikiti wa Al aqsa utakuwa wazi kwa waislamu duniani kwenda hija? jibu kihalisia usilopoke mshindi ni nani hapo. kamasi atalilia lia usilu kucha mpaka afe lakini jiji la jerusalem halioni ng'oooo
 
Tupo ghaza sasa hivi:

Your browser is not able to display this video.
 
Israel aliisha bonga mwaka 1967 ali[poshinda vita vya siku sita kuwanyamazisha OIC woote. alibonga hivi
nakufa nakufa lakini lakini vilikuwa vita vya kitakatifu nani kaiona Jerusalem? OIC wooote kimyaaaaaaa!
alibonga tena akisema
nani alitaka kuibusu Jerusalem ambapo matunda ya kubusu kwake ni kupoteza shamba la babake(sinai, Golan na west bank) OIC nzima kimyaaaaaa!

leo unaposema hkamasi kashinda basi weka hija pale msikiti wa al al aqsa au nunda palestina kushangilia kuteka tel aviv acha propaganda weweee
 
Vita inaendelea, wamesitisha mapigano tu. Mpaka dakika hii israel kashindwa vibaya sana.
fafanua iwapo kila kukicha mlikuwa mnalilia lia tuu . Gaza sasa hivi ni sawa na kigogo ya 1967 kila kona maiti na harufu ya sox. idadi ya wapalestina waliovaa suti isiyo na malinda(sanda) ni nyingi sana na imeaanzia watoto mpaka wazee
 
Myahudu kala za uso mpaka anaona haya, vifaru vilivyogongwa na vijana wa kipalestina ana vitumbukiza baharini kwa aibu vikibak8 ghaza vijana wanavigeuza silaha zao :
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna siku niliacha kuwatilia maanani waislam, muislam mmoja aliposema Bunduki zitakuja kugeuka fimbo ndio maana wao wanajifunza Bunduki, hili waje waitawale dunia
 
Kuna siku niliacha kuwatilia maanani waislam, muislam mmoja aliposema Bunduki zitakuja kugeuka fimbo ndio maana wao wanajifunza Bunduki, hili waje waitawale dunia
Sikushngai kwa kuwa nakuhisi uelewa wako uko finyu sana.

Hujaona walivyochapwa mazayuni, tukuoneshe?
 
Hamas kundi teule kuzimu

Hamas ndiyo kwanza wameingiza kikosi chao kingine kinaitwa "the Ghosts" "Saraya Al Quds".

Jana wamepiga mazayuni mpaka wamekiri, kuchezea kichapo na kuwaomba Wamisri na Qatar waingile maongezi ya kusimamisha mapigano yaanze tena.

The Ghosts hao hawana maongezi na mtu, wakishika silaha ni mpaka ushindi.

Umewaona hao? Au nikuoneshe?

Unajuwa kwanini wanaitwa "The Ghosts"? Kwa maana ya mizimu?
 
Ushindi kwa Hamas ni kurudisha ardhi yao. Zaidi hapo hakuna, vita itaendelea.
 
Hii ndiyo kazi ya Ghosts wa Palestina👇🏾
haraka

Kulingana na uvujaji tuliopokea
*Mawasiliano makali na ya dharura yanafanywa na Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani na baadhi ya nchi za Kiarabu hususan Misri na Qatar ili kuishinikiza muqawama wa Palestina kukubali mapatano ya haraka kwa kisingizio cha kuleta misaada huko Gaza!!

Ukweli ni kwamba mapatano haya yaliombwa kwa dharura na Israel kutoka Marekani ili iweze kuwaondoa wanajeshi na magari yake kutoka kwenye kinamasi kilichoangukia leo katika mitaa ya Gaza, ambapo walipata hasara kubwa katika magari na maisha. Makumi ya magari na mamia ya wanajeshi wa Kizayuni walizingirwa ndani ya barabara za Gaza na hawawezi kurudi nyuma. Mbele ya upinzani huvizia!!

Idhaa za Kiebrania zimeanza kutangaza habari kuhusu kuanguka kwa idadi kubwa ya maafisa na wanajeshi wa Israel katika mashambulizi kadhaa yaliyowekwa kwa ajili yao na upinzani leo!!
Na ni jihadi ya ushindi au kufa kishahidi!!

"Israeli ilitamka
Pumzi yake ya mwisho

………………………………..
Tafadhali sambaza makala kwa upana iwezekanavyo

urgent

According to the leaks we received
* Intense and urgent contacts are being made by the US State Department with some Arab countries, especially Egypt and Qatar, to pressure the Palestinian resistance to accept a quick truce under the pretext of bringing aid into Gaza!!

The truth is that this truce was urgently requested by Israel from the United States so that it could withdraw its soldiers and vehicles from the quagmire they fell into today in the streets of Gaza, where they suffered heavy losses in vehicles and lives. Dozens of vehicles and hundreds of Zionist soldiers were besieged inside the streets of Gaza and they cannot retreat. In front of the resistance ambushes!!

Hebrew channels have begun broadcasting news about the fall of a large number of Israeli officers and soldiers in several ambushes set up for them by the resistance today!!
And it is a jihad of victory or martyrdom!!

"Israel pronounced
Her last breath

……………………………..
Please spread the article as widely as possible
 
Wewe wacha uongo. Mambo mapya ya leo hayo hapo juu, tazama post ya juu yako hapo.
 
Wewe wacha uongo. Mambo mapya ya leo hayo hapo juu, tazama post ya juu yako hapo.
Yaani nyinyi waislam watu waajabu sana. Mnacho nukuu nyinyi wala hamuonyeshi source na bado mnatumia nguvu nyingi kuwaaminisha waislam wenzenu kuwa ni ukweli. On the other end kile kinachoandikwa na Non-muslims hata watoe uthibitisho wa source, bado mtabishia hiyo source
Mko kama Baba yenu Shetani ambaye moja ya majina yake linamaanisha the best deceiver
 



Kama huzioni source siyo tatizo letu.

Unajuwa kuwa Mazayuni kuanzia jana wanajiondowa Ghaza kimya kimya baada ya kucheze kichapo?

Source hiyo, kutokea jikoni kabisa:


View: https://youtu.be/UsQNFYUIYOo?si=7uFWF6vxHXNldz1s
 
Unafahahamu kuwa mji mmoja cha mazayuni kimehamishwa kabisa huko Kaskazini?

Vitu hivyo vya jana mchana na usiku kutokea Hezbollah:+


Your browser is not able to display this video.
 
Mazayuni wamsalimu amri, wanaondowa majeshi yao Ghaza kimya kimya.


Hivimkubwa wa majasusi wao kaenda kukutana mkiubwa wa majasusi wa Qatar huko Ulaya.

Ushindi mkubwa huo kwa Hamas.

Hizbollah wanaendelea kipigo kutokea Kaskazini.

Hamas wanaendeleza kipoigi uso kwa uso.

Wayemeni wanaendeleza kichapo baharini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…