Wapalestina waneemeka na chakula kingi cha msaada wa kimataifa kilichoibwa na kuhodhiwa godauni la hamas baada ya walinzi kulikimbia jeshi la Israel

Hao Hamas huko Gaza na Hezbollah kule Lebanon wanakingiwa kifua na Watumishi wa UN. UN popote walipo ni majanga; Congo UN ndiyo wanaongoza kwa kutorosha madini. Haiti UN walihusishwa na Ubakaji wa wanawake. UN ni majanga ya Dunia ona

View: https://x.com/AsaadHannaa/status/1849811521850712065
 
hapa naona kondoo wanajitekenya wenyewe na kucheka wenyewe.

Mwanzo wa mwisho wa mazayuni umeshaonekana.
Wewe dada hizo chuki zako kwa wayahudi hazitakufikisha kokote. Wenzio huko Uarabuni wamekuja kugundua kuwa walikuwa wanapandikizwa chuki bure! Na sasa baada ya kujielimisha wamekuja kugundua kuwa wayahudi ni watu wema sana tofauti na walivyofundishwa. Angalia mahojiano ya huyu dada Mmisri tena muislamu haswa anayevaa hijabu na ikampendeza anachosema

View: https://www.youtube.com/live/X-8PSfi1ShM?si=HqtkfHm35Ek6tuiE
 
Attachments

  • IMG_5311.png
    1 MB · Views: 4
Mkuu uongo haukusaidii kitu na story zenu za kutunga...
Hii video ni ya mwaka jana kipindi wapalestina wamevamia kituo cha kugawa chakula cha UNRWA, au hata UNRWA huelewi nianze kukuelewesha, makao yake makuu yapo USA, UNRWA walisema hakuna chakula na maghala yao yapo empty.... Ndipo raia wa Palestina wakavamia na kuchukua chakula kama uonavyo..

Nimekuwekea na source haapo chini, next time acha uongo uongo na story za kutunga...

Hapa chini nie translate kwa english...

Tazama ulivyoaibika kwa kujikuta unafahamu mambo kumbe mweupe tu, Gaza ya sasa haifanani na hayo mazingira ya kwenye video, pili Israel wamezuia misaada kuingia ya dawa na chakula...
tatu Hamas sio wapumbavu kiasi hiko kuweka ghala la chakula sehemu open space kama hio ambapo kwa intel za Israel wangevamia zamani au kurusha akombora, hamas wapo zao kwenye mahandaki na vyakula vyao....
 
misaada ya chakula ya kuisaidia Gaza inaishia kwa Hamas na familia zao, pesa zinatumika kununulia wake zao pochi za milioni 87

View attachment 3134490
Hakuna kitu ni porojo na uongo wa kutunga, dukani kuna bidhaa fake nyingi tu za gucci, LV, Nike n.k, na wanawake wanavaa sana...
Misaada ya chakula yenyewe unyosema hamas wanatumia kuwanunulia mikoba wake zao kumbe ni story za kutunga...🚮
 
Jama liongo kweli, video ya 2023 Palestinians walipovamia kituo cha UNRWA cha kugawa chakula...
Gaza ya sasa haijapendeza hivyo...

source...

Hiyo ya 2023 pia haijapendeza kama ya 1947.

Kafanye homework yako urudi na picha za 1948 kurudi nyuma uliganishe na hiyo ya 2023.
 
  • Palestina imeshikiliwa kimabavu na Hamas
  • Misaada ya Unwra inaishia kwa Hamas
  • Hilo godown ni la Hamas
  • Chakula kinakuwa kwajili ya Hamas na familia zao
  • Video nyingine hii hapa, Kwenye handaki la Yahya kulikutwa misaada ya Unwra pamoja na mabilioni ya fedha za misaada
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna kitu ni porojo na uongo wa kutunga, dukani kuna bidhaa fake nyingi tu za gucci, LV, Nike n.k, na wanawake wanavaa sana...
Misaada ya chakula yenyewe unyosema hamas wanatumia kuwanunulia mikoba wake zao kumbe ni story za kutunga...🚮
  • Palestina imeshikiliwa kimabavu na Hamas
  • Misaada ya Unwra inaishia kwa Hamas
  • Hilo godown ni la Hamas
  • Chakula kinakuwa kwajili ya Hamas na familia zao
  • Video nyingine hii hapa, Kwenye handaki la Yahya kulikutwa misaada ya Unwra pamoja na mabilioni ya fedha za misaada

Your browser is not able to display this video.
 
Wewe ni muongo hio video ya kwanza umeweka ni ya 2023, halafu ukaja na story ya kutunga eti hamas wamekimbia askari wa IDF wananchi wakavamia...

Siwezi kutizama story za uongo mkuu...
Kwanini utunge story?
 
Yahya alipata wapi pesa za kumnunulia mke wake pochi ya milioni 87 kama sio za misaada ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…