Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Tanesco haihusiki na kodi hii, Tanesco ni kama wakala tu wa kukusanya, mhusika ni TRA.Hii inakatwa automatic
Wala sio inshu ya kwenda kuandika kwenye daftari la msomi pale tanesco
Sh.50 ni way low kulinganisha na 1000-10,000. Its likely you dont feel the pinch wangeweka hio 50 kwenye kila sehemu it would make a lot of sense kuliko kuweka %Mpangaji kumiliki mita ya LUKU😂😂only in Tanzania....tuwe serious!ngoja wenye nyumba wapandishe kodi ya kufidia hayo makato ya 1000/= kwa mwezi. Hiyo system ya makato iwekwe pia kwenye ukusanyaji wa takataka na ulinzi wa sungusungu...wabongo bhana!kodi ya barabara (road licence)ambayo ilitakiwa ilipwe na mmiliki wa chombo imewekwa kwenye mafuta na unalipa hata kama chombo si chako ..Watu kimyaaa!!
Wewe ni tajiri na haujui kuna watu mchana huu hawatakua na sh. 1,000/= ya kununua unga wa dona wale na watoto wao. Kumbuka unapotoa sh.1,000/= kununua umeme utakatwa hivyo utapata uniti pungufu zaidi na kusababisha mzunguko wa kununua umeme uwe karibu karibu. Ni vizuri kama wewe ni tajiri pita pembeni waachie masikini walilie ugali bila mboga.Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
Kwa kweli..Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
Elfu moja ukiigawa kwa siku 31 unapata ngapi ili upate kwa siku wanachukua kiasi gani?Wewe ni tajiri na haujui kuna watu mchana huu hawatakua na sh. 1,000/= ya kununua unga wa dona wale na watoto wao. Kumbuka unapotoa sh.1,000/= kununua umeme utakatwa hivyo utapata uniti pungufu zaidi na kusababisha mzunguko wa kununua umeme uwe karibu karibu. Ni vizuri kama wewe ni tajiri pita pembeni waachie masikini walilie ugali bila mboga.
Tumia kichwa kufikiri, kwanini nilipie sh.1,000/= wakati nyumba si ya kwangu? Wewe unaona hiyo hela ni ndogo wakati wenzako hawana sh 400/= ya kupandia daladala hivyo wanatembea kwa mguu toka Ubungo (kama unaifahamu) mpaka Magogoni (kama unakufahamu) Dar. Ukiona watu wamejipanga kwenye misikiti ya wahindi siku za Ijumaa usiwacheke, ni umasikini walioupata ndani ya Uhuru.Elfu moja ukiigawa kwa siku 31 unapata ngapi ili upate kwa siku wanachukua kiasi gani?
Acheni lawama za kijinga.
Kwanza tu ni kuweke sawa ni kuwa wewe ni mnafiki wa wazi kabisa.Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
Umemwambia sawa kabisaWewe ni tajiri na haujui kuna watu mchana huu hawatakua na sh. 1,000/= ya kununua unga wa dona wale na watoto wao. Kumbuka unapotoa sh.1,000/= kununua umeme utakatwa hivyo utapata uniti pungufu zaidi na kusababisha mzunguko wa kununua umeme uwe karibu karibu. Ni vizuri kama wewe ni tajiri pita pembeni waachie masikini walilie ugali bila mboga.
Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
Lipa mkuu, hata hii mitandao unayotumia kulalamika na umeme unaochajia simu ni zao la kodi na tozo mbalimbali. Kata fedha yako kwenye Kodi ya mwenye nyumba.Tumia kichwa kufikiri, kwanini nilipie sh.1,000/= wakati nyumba si ya kwangu? Wewe unaona hiyo hela ni ndogo wakati wenzako hawana sh 400/= ya kupandia daladala hivyo wanatembea kwa mguu toka Ubungo (kama unaifahamu) mpaka Magogoni (kama unakufahamu) Dar. Ukiona watu wamejipanga kwenye misikiti ya wahindi siku za Ijumaa usiwacheke, ni umasikini walioupata ndani ya Uhuru.