Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,731
Nyie ni mawili kama sio watoto mnaopewa allowances na wazazi wenu basi ni vijana ambao m'mepata access ya maisha mazuri so hapa mnakuja kuonyesha udhaifu wenu kupitia arrogance nature mliyonayo.Kwa kweli..
Watanzania wengi wana mentality kuwa serikali ikifanya hivi basi wapinge tuu..
Katika hali ya kawaida watu wanapolalamika , mtu mwenye upeo na akili inayofanya kazi sawa sawa huwa anajiuliza kuwa hawa watu wamenyang'anywa kitu gani hadi walalamike hivi ?! Ukisikiliza utaelewa.
Watanzania si kwamba hawapendi kuichangia serikali. Ila hawapendi kudhulumiwa. Serikali hii ni ya mkono unaopokea tu na usitoe inavyostahili.
Wamechukua pesa za Deci, wanechukua pesa za Mr. Kuku. Wanachukua kodi kila uchao, wanakopa nje huko mabilioni, wanachukua hela za wastaafu, wanachukua hela za mafao ya watu waliopo makazini, michango ya walimu kila siku wanabeba.
Huoni hii ni too much?!