Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

Wewe mwenye akili za kitajiri mbona unakunya mavi yananuka kama mizoga.Akili zako za kitajiri zingekuwa zinakusaidia ungekuwa unakunya vito vya thamani,mjusi wa kwenye majabali wee!.Wenye akili za kitajiri wanaziishi akili zao za kitajiri,sasa wewe una akili za kitajiri na bado maskini halafu unatukana watu humu unawaita wehu.kama 1000 sio kitu uwe kila siku unachukua 1000 unaichambia
Tafuta hela mdogo wangu uwe na financial freedom hutalia Lia kila kitu.
Ni umasikini tu ndio unawatoa mishipa ya Shingo, na umasikini sio sifa.
 
Mbadala wa kodi upo mzee! Uwezeshaji wa watu wajikite kuzalisha mali na kuuza nje ya nchi nchi ipate foreign reserve ya kutosha!

Double taxing ni upuuzi mwengine! Waweke kodi 50 katika kila chanzo cha pesa itamake sense ila sio kuweka elfu 10 kwenye muamala wa mtu mmoja!
Easier said than done
 
Easier said than done
Easier said than done sababu ya bongo zilizoridhika na maisha sababu wanaishi 5 star lifestyle!
Kama wameweza kupachika hayo maelfu ina maana kuyapunguza ikabaki sh.50 au sh.100 inashindikana vipi?
 
Easier said than done sababu ya bongo zilizoridhika na maisha sababu wanaishi 5 star lifestyle!
Kama wameweza kupachika hayo maelfu ina maana kuyapunguza ikabaki sh.50 au sh.100 inashindikana vipi?
Mkuu tuko kwenye Kodi ya majengo ambayo kimsingi ilikuwepo sema imewekewa njia ambayo ni yenye ufanisi zaidi ktk kuikusanya.
Hayo maelfu unayosema nadhani umelenga tozo za miamala ambayo Hata mimi naona ni kiwango kikubwa sana
 
Wewe unafikiri Watanzania wote mil 60 wana uwezo wa kulipa hiyo 1,000/= kwa mwezi? You are out of touch. hiyo 1000 kwa miaka 30, itakuwa shilingi ngapi kwa mtu wa kijijini? Hata trilioni inahesabiwa kwa shilingi moja moja. Acha mawazo ya kijinga. Watanzania wana haki ya kulalamika. Kuna watu vijijini huko wanategemea kilimo tu - wanatoa chakula shambani, wanajenga kwa miti na matofali ya kujitengenezea. Hawana pesa. Sasa wewe ukiwataka wakupe elfu 1 kila mwezi, unaona ni haki hiyo?
Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
 
Kumbe tunaelewana ila nikikwambia hao tozo za majengo hata wangeweka 500TZS kwa mwaka hela ambayo wangeikusanya ingezidi hio 12,000TZS
 
Wewe unafikiri Watanzania wote mil 60 wana uwezo wa kulipa hiyo 1,000/= kwa mwezi? You are out of touch. hiyo 1000 kwa miaka 30, itakuwa shilingi ngapi? Hata trilioni inahesabiwa kwa shilingi moja moja. Acha mawazo ya kijinga. Watanzania wana haki ya kulalamika. Kuna watu vijijini huko wanategemea kilimo tu - wanatoa chakula shambani, wanajenga kwa miti na matofali ya kujitengenezea. Hawana pesa. Sasa wewe ukiwataka wakupe elfu 1 kila mwezi, unaona ni haki hiyo?
Mkuu kwanza Ukitaka kujenga hoja uwe na taarifa Sahihi.
Kodi ya majengo Haipo vijijini, na hiyo sio Kodi mpya imebadilishwa tu njia ya kuikusanya Kwa ufanisi sasa unacholalamika ni nini?
 
Wewe unafikiri Watanzania wote mil 60 wana uwezo wa kulipa hiyo 1,000/= kwa mwezi? You are out of touch. hiyo 1000 kwa miaka 30, itakuwa shilingi ngapi kwa mtu wa kijijini? Hata trilioni inahesabiwa kwa shilingi moja moja. Acha mawazo ya kijinga. Watanzania wana haki ya kulalamika. Kuna watu vijijini huko wanategemea kilimo tu - wanatoa chakula shambani, wanajenga kwa miti na matofali ya kujitengenezea. Hawana pesa. Sasa wewe ukiwataka wakupe elfu 1 kila mwezi, unaona ni haki hiyo?
1000*12=12,000
12,000*30=360,000
Miaka 30 ni 360,000/-
 
Hii kodi haibagui vijiji na miji. Wewe ndio hauna taarifa. Mi natoka kijijini kwa taarifa yako. Inabagua permanent structures v/s temporary structures. Vijijini pia kuna permanent structures zinazolipiwa hii kodi. Kwa unafikiri umeme wa REA unahusu watu gani kama siyo hao wa vijijini?
Mkuu kwanza Ukitaka kujenga hoja uwe na taarifa Sahihi.
Kodi ya majengo Haipo vijijini, na hiyo sio Kodi mpya imebadilishwa tu njia ya kuikusanya Kwa ufanisi sasa unacholalamika ni nini?
 
Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
Wewe ndio juha muna. Mwananchi anahaki ya kuihoji serikali yake kwa kupata ufafanuzi. Wewe unaona 1000 ndogo sana kwa kuwa inakatwa kwenye simu kwa kununua umeme? 1000 kwa wengine ni mlo kamili.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Halafu siyo huko tu. Kuna mafuta ya taa, ya kula nk, makato ya miamala, bei ya sukari, cement nk. Kuhoji na haki ya Watanzania.
Wewe ndio juha muna. Mwananchi anahaki ya kuihoji serikali yake kwa kupata ufafanuzi. Wewe unaona 1000 ndogo sana kwa kuwa inakatwa kwenye simu kwa kununua umeme? 1000 kwa wengine ni mlo kamili.

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
1629541651922.png
 
Tumia kichwa kufikiri, kwanini nilipie sh.1,000/= wakati nyumba si ya kwangu? Wewe unaona hiyo hela ni ndogo wakati wenzako hawana sh 400/= ya kupandia daladala hivyo wanatembea kwa mguu toka Ubungo (kama unaifahamu) mpaka Magogoni (kama unakufahamu) Dar. Ukiona watu wamejipanga kwenye misikiti ya wahindi siku za Ijumaa usiwacheke, ni umasikini walioupata ndani ya Uhuru.
Huyo jamaa hajui hata mfanyabiashara tu ukimuongezea sh.10 au 50 kwenye kodi bidhaa yake analalamika na ana fanya tax avoidance

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom