Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

Lipa mkuu, hata hii mitandao unayotumia kulalamika na umeme unaochajia simu ni zao la kodi na tozo mbalimbali. Kata fedha yako kwenye Kodi ya mwenye nyumba.
Tatizo wewe haujawahi kupanga na ndiyo sababu nimesema serikali inatugombanisha wapangaji na wenye nyumba, mwenyenyumba neno lake hautaki kutoa 1,000 hama nenda kapange TRA.
 
Utakuta kwenye hiyo nyumba Kuna wapangaji watano,yeye anatoa Mia 200 tu, alafu anayelalamika ii yeye
Mbona wewe huwagawii sh 100/= tu kila unayekutana naye njiani, mia ni hela ndogo sana haiwezi kukutia ufukara wewe.
 
Mpangaji kumiliki mita ya LUKU😂😂only in Tanzania....tuwe serious!ngoja wenye nyumba wapandishe kodi ya kufidia hayo makato ya 1000/= kwa mwezi. Hiyo system ya makato iwekwe pia kwenye ukusanyaji wa takataka na ulinzi wa sungusungu...wabongo bhana!kodi ya barabara (road licence)ambayo ilitakiwa ilipwe na mmiliki wa chombo imewekwa kwenye mafuta na unalipa hata kama chombo si chako ..Watu kimyaaa!!
Kwani hiyo barabara wewe hutumi?? Akili ni nywele kila mtu ana zake
 
Wewe mwenye akili za kitajiri mbona unakunya mavi yananuka kama mizoga.Akili zako za kitajiri zingekuwa zinakusaidia ungekuwa unakunya vito vya thamani,mjusi wa kwenye majabali wee!.Wenye akili za kitajiri wanaziishi akili zao za kitajiri,sasa wewe una akili za kitajiri na bado maskini halafu unatukana watu humu unawaita wehu.kama 1000 sio kitu uwe kila siku unachukua 1000 unaichambia
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
"Vinavyowaumiza Haviniumizi!'
20210808_112003.jpg
 
Yani kuhangaika kote Huku ni kwasababu ya 1000 tu kwa mwezi?
Tunalalamika mno vitu vya kipuuzi ndio maana tukiwa na malalamiko ya msingi serikali haiyatilii maanani maana imetuzoea ni wapayukaji hovyo.
Huyo mpangaji atakayegombana na mwenye nyumba kwasababu ya 1000 atakuwa juha
Kwa ghorofa ni shilingi 120,000 au zaidi na zaidi kwa mwaka. Hizo ni ndogo? Mpangaji amlipie mwenye ghorofa? Umetafakari kabla ya kubeza?
 
Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapanga ji walipe kodi ya jengo.
Tatizo kama hilo Tozo lingekuwa ni kila ununuapo umeme lakini endapo watakuwa wanakata 1000 kwa mwezi mara moja siyo vibaya sana, na hayo mapato yaainishwe yawekwe wazi kusiwe na kificho kama Tozo za mitandao ya simu
 
Kwa ghorofa ni shilingi 120,000 au zaidi na zaidi kwa mwaka. Hizo ni ndogo? Mpangaji amlipie mwenye ghorofa? Umetafakari kabla ya kubeza?
Kulipa 1000 kila mwisho wa mwezi na hizo pesa zinatumika vizuri kuleta maendeleo hakuna shida lakini endapo watakuwa wanakata kata makato hovyo hovyo hapo itakuwa janga la kitaifa
 
Yapo mapato mengi yanapotea njiani vyanzo vipya vikipenya huko Serikali itaingiza pesa nyingi mfano wapo watu wachache ombaomba professional wa level za kuvaa vizuri kukaa bar kubwa hotel kubwa kuwavizia matajiri na watu wa kuwaida wenye vipato kuwaomba pesa na huomba kuanzia tshs 10,000 na kuendelea hukaa huko wakiwa na List kubwa hukusanya pesa nyingi tu utazani ni Trafik wa barabarani , yupo mmoja anaishi huko mji wa Dsm anaitwa Seleman ni mkazi wa Kinondoni namba zake ni 0715132277 na 0787132277 huyo huingiza mpaka laki 3 au zaidi kwa siku kwa kuwaomba watu ina maana kwa mwezi hutengeneza pesa nyingi sana pasipo kulipa kodi wala kukatwa Tozo kwani pesa nyingi hupokea kwa cash, hicho ni chanzo mojawapo ambacho TRA yafaa wakifanyie kazi na wakimtumia huyo Seleman watapata Elimu ya kuwapa ombaomba wote mashine za rist kwa kila Pato wanaliongiza, Serikali wabuni vyanzo vipya vya mapato waache kuwaumiza wananchi kwenye Tozo la mitandao ya simu za mikononi
 
Suala ni Jepesi MPANGAJI awasiliane na MWENYE NYUMBA wake kama UPANGAJI wake ni Miezi 6 kwa Wale wanaokatwa 1000/= kila Mwezi ni sawa sh 6000 wakati wa kumlipa KODI Atoe hizo sh.6000/= Alizokatwa MAISHA yaendelee
Ccm oyeee

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Njia ingine nzuri pindi mteja akifunga Mashine ya Luku alipie 1000x12 mwaka mzima anapewa rist anakuwa hakatwi 1000 kila mwezi
 
Tafuta hela mdogo wangu uwe na financial freedom hutalia Lia kila kitu.
Ni umasikini tu ndio unawatoa mishipa ya Shingo, na umasikini sio sifa.
Waruhusu watu kulipa 12,000 za luku kwa miezi 12 mwaka mzima ili mtu aweze kununua umeme wa buku pasipo kukatwa chochote
 
Kwa sasa upepo umehamia kwenye tozo za majengo kupitia luku...

Tukijaamka watu washapiga mabillion tunasikia tu wanapelewa mahakamani...
 
Tatizo wewe haujawahi kupanga na ndiyo sababu nimesema serikali inatugombanisha wapangaji na wenye nyumba, mwenyenyumba neno lake hautaki kutoa 1,000 hama nenda kapange TRA.
Dawa ni kukatana na mwenye nyumba kama umepanga miezi 6 unakata 6000 na kama ni miezi 12 unakata 12,000
 
Kwa sasa upepo umehamia kwenye tozo za majengo kupitia luku...

Tukijaamka watu washapiga mabillion tunasikia tu wanapelewa mahakamani...
Luku zote zikatwe 1000 kila mwezi Nchini kote kisha pesa utumike bila ufisadi lazima Taifa litapiga hatua kubwa
 
Wew unaoongea tu.. kuna mtu ana anamiliki nyumba nyumba kila chumba kina mita yake.. kwa mfano kuna vyumba kumi.. huoni kama kuna 10000/= apo lazima TRA wapite nayo.. mfumo wao na wa hovyo tu kuna miingiliano mingi sana kwenye hili
M mwenyewe nakaa aina hzo za nyumba,chumba na sebure nina luku yangu,yaan kiufupi tupo wapangaji 5 sehemu moja kila mtu na luku yake,sasa sijui hapa inakuaje maana kila mtu akinunua wanakata,,huu ukataji wa kodi wa kipuuzi sana aisee
 
Hivi kuondoa complication yote hiyo, si unakata ulicholipa kwenye kodi unayompa mmiliki?
 
Hakuna mbadala wa Kodi Mkuu, tulipe Kodi

Huyo raia anayelalamika Kwa kutozwa Kodi ya sh 1000 Kwa mwezi ambayo pengine wanagawana Watu 5 hivyo =200 hastahili kuwa mtu hai, huyo ni mfu.

Unalalamika 1000 Wakati ukienda hospital ukikosa huduma unatukana, ukiona barabara mbovu unatukana, ukikosa umeme unatukana, unategemea fedha za kurekebisha hayo mambo zitatoka Wapi?
hakuna mbadala wa Kodi, asiyetaka kulipa Kodi ajiue apumzike kaburini

Yale madini ya wakati wa JPM yameenda wapi? Hakuna anaye ilalamikia buku bali kinachotakiwa ailipe mwenye nyumba. Hujui kero
/ karaha/maudhi ya kupanga makazi wewe. Serikali isiwaongezee wapangaji kero nyengine wataichukia tu. Kuchukiwa serikali maana yake ni kuchukiwa viongozi wetu. Tusije tukazalisha wakina Lungu wengine. Serikali iweke utaratibu wa kuwajua wa miliķi halali wa nyumba. NHC na TBA waweke utaratibu wa kupunguza pango kwa shs 12, 000 ama 60,000 per year kwa wspangaji wao.
 
Tumia kichwa kufikiri, kwanini nilipie sh.1,000/= wakati nyumba si ya kwangu? Wewe unaona hiyo hela ni ndogo wakati wenzako hawana sh 400/= ya kupandia daladala hivyo wanatembea kwa mguu toka Ubungo (kama unaifahamu) mpaka Magogoni (kama unakufahamu) Dar. Ukiona watu wamejipanga kwenye misikiti ya wahindi siku za Ijumaa usiwacheke, ni umasikini walioupata ndani ya Uhuru.
Ndio unalipa sasa.
 
Dar sikufahamu, tumia mifano ya huku kwetu ndilima litembo..
 
Back
Top Bottom