Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Wapare mara nyingi wakienda kwao husema wanaenda Upareni

Mimi ni mpare og kwa baba na mama na mke wangu ni mpare binafsi naona neno upare kwanza sio lakwetu sisi tunaitwa VAATHU na lugha yetu inaitwa CHATHU na wala sio wapare / kipare nooooo.

Hilo neno lilitokana na vita baina yetu na wachaga ndio likatokea neno mpare yani mpige na hii vita kama sio wachaga kutu outnumber tungewashinda kwasababu waathu ni mahiri katika vita pia. Kama hujui muulize mkuu wa wavaa suti wasasahivi Bwana Diwani.
 
Maneno ya wenye husuda kali hayo [emoji3] thibitisha wizi wao ni upi? [emoji2369]
1.Unamkumbuka yule Mangi alikuwa anatoa habari za siri za watawala wenzake kwa Wajerumani ili watawaliwe yeye apewe silaha 2.Unamkumbuka yule Mangi namuhifadhi alikuwa nia yake Moshi ijitawale iwe nchi ya pekee kama ilivyo Lesotho ndani ya Africa Kusini? Na hata karibia kupata uhuru kulikuwa na bendera ya Wachaga na wimbo wao wa taifa Nyerere akasema hawezi dai uhuru kwa Tanganyika nzima hadi hiyo bendera ishuke.Yule Mangi akaingizwa TANU na Nyerere nguvu zikamuishia hapo.
Wapare walivyoona hawa jamaa zao sio wa kuaminika wakaamua kukimbilia milimani
 
Watu wa makabila mbali mbali walioko mijini ama mbali na nyumbani (sehemu ya asili yao) mara nyingi wakitaka kusema wanarudi kwao watataja jina husika la mji ama sehem anayotoka... Mfano kwa mchaga atasema naenda moshi... Muhaya atasema naenda bukoba, mngoni atasema ashuka zake songea nk.
Ila inanishangaza kwa wapare... Mara nyingi sana utaskia naenda upareni... Au atamuuliza mtu "hivi lini unapandisha upareni" na wakati wana sehem zao km usangi, ugweno, chome, same nk...

Ni mazoea ama kuna sababu maalum?

View attachment 2443480
Biased
 
Back
Top Bottom