Kwa hiyo kutofahamika kitaifa kunamfanya mtu asitambulike kama msomi?Kwamba Wapogoro Wamesoma?
Embu nitajie watatu wazuri wanaofahamika kitaifa.
Ni hakika umepatikana. Mimi nikiona mwanamke wa kipare ni kama mtu aliyeng'atwa na nyoka alaf akaona kamba nyeusi njianiHabari za mda huu wanajamvi
Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda
Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri
Sasa she call me only when she a help nachoka Sana
Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao
Wewe nae punguza dipresheni huyo simtaki🤣🤣🤣🤣 huyo ndio wifi sasa.
Mimi nakuambia kwa Hapa Tanzania hakuna kabila lolote linalosogea kwa Wapare kwa Uzuri ule wa Generally
Kama unabisha Taja hilo kabila alafu tubishane kwa hoja.
Uzuri
1. Uzuri wa maumbile
2. Uzuri wa Sura
3. Uzuri wa Akili, mitazamo, fikra na elimu.
Hayo Mambo yote matatu wanawake wa kipare wanakimbiza vibaya.
Hakuna kabila linalosogea hapo labda jirani zao wachaga ambao Siku hizi nao maumbo wanakuja vizuri.
Taja
🤣🤣🤣🤣 Dogo huyo ndio atakunyoosha vizuri sasa.Wewe nae punguza dipresheni huyo simtaki
Harikaaa inyelaa 😁😁Wewe ni Mdhuti
Uthimanije Kinduuu.
Sijapinda nimenyooka kama rula tayari watatu hapa washanitext "morning babe" 🫡🤣🤣🤣🤣 Dogo huyo ndio atakunyoosha vizuri sasa.
Taratiiibu unakuwa furushi🤣🤣Sijapinda nimenyooka kama rula tayari watatu hapa washanitext "morning babe" 🫡
😂 alafu ndio nipate asie na shukraniTaratiiibu unakuwa furushi🤣🤣
Thubutuuuuuu!😂 alafu ndio nipate asie na shukrani
Wivu tu kisa ulipata shindikanaa kivuruge unataka nami nipate wa hivyo😂Thubutuuuuuu!
Nimezaa na mpare nikatombewa akapata ujauzto wa mwanaume mwingine 💔Habari za mda huu wanajamvi
Huyu wangu tuliokotana mwaka jana mwezi WA 3 Aisee nakajihisi nimepata Ila baada ya siku kuenda
Aisee naona hafai na nilipatikana mbona wanawake wa kipare huwa hawaeleweki japokuwa ni wazuri nilishauriwa Sana Ila nikapagawa na uzuri
Sasa she call me only when she a help nachoka Sana
Njooni utuambie chochote kuhusu WAPARE na namna ya kuishi nao
Naanza kampeni mpaka uoe mpare. Siwezi kufa na tai shingoni peke yangu🤣🤣🤣Wivu tu kisa ulipata shindikanaa kivuruge unataka nami nipate wa hivyo😂
Huu ni uchochezi🤣🤣🤣Mhmm wapare wana uzuri gani?
Nimesikia wanawake wa kipare ni wazuri nikashtuka sana shindii🤣Huu ni uchochezi🤣🤣🤣
Eoka tha kirundu avae😁Wewe ni Mdhuti
Uthimanije Kinduuu.
Basi sioi kabisa kuliko nioe mpareNaanza kampeni mpaka uoe mpare. Siwezi kufa na tai shingoni peke yangu🤣🤣🤣