Wapare mwaka 1951 walikuwa na maendeleo kuliko sasa (2021)

Mpare ukimsikia akisema amatundu [emoji383] [emoji383] [emoji383][emoji383][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jua anamaanisha haswaaa hawanaga masihara kwenye jambo hili
 
Mpare ukimsikia akisema amatundu [emoji383] [emoji383] [emoji383][emoji383][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]jua anamaanisha haswaaa hawanaga masihara kwenye jambo hili
nasikia hawa jamaa zamani walikuwa ni wachaga, washirikina na wale wenye funza miguuni wakawa wanatengwa kama adhabu kwa kufukuziwa huko milimani kama wakoma, ndio wakanzisha kizazi huko? ni kweli?
 
nasikia hawa jamaa zamani walikuwa ni wachaga, washirikina na wale wenye funza miguuni wakawa wanatengwa kama adhabu kwa kufukuziwa huko milimani kama wakoma, ndio wakanzisha kizazi huko? ni kweli?
Inawezekana me sijui historia yao vzr
 
Inawezekana me sijui historia yao vzr
inasemekana ni reject, kama enzi za ukoma mtu akiugua wanamtenga kwa kumfukuzia eneo maalumu, hawa pia walikuwa wachagga, sasa ikawa inafanyika msako wa wachawi na watu wenye tabia mbaya, wengi wakafukuziwa milimani huko ndio wakaenda kuunda jumuiya yao hadi leo. ila hao na wachaga ni damu moja.
 
Ndio maana walienda kujichimbia miliman kwenye mawe hukooo
 
Harafu NASIKIA wana asili ya roho mbaya sijui ni kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…