Wapare mwaka 1951 walikuwa na maendeleo kuliko sasa (2021)

Wapare mwaka 1951 walikuwa na maendeleo kuliko sasa (2021)

Jamii nyingi za kaskazini hususani za wapare, wameru na wachaga na zilikuwa imara na zenye mwamko wa maendeleo kupitia elimu, shughuli za uchumi na ushirikiano kabla ya uhuru. Ujio wa uhuru wa Tanganyika chini ya Tanu na kisha CCM ulikuja kuharibu na kuzifuta juhudi hizo kwa makusudi na nguvu kubwa sana. Hii ndio sababu kubwa kwa wenyeji wa mikoa hiyo kuichukia CCM daima.
Wapare ni moja kati ya jamii hapa Tanzania ambayo Waislamu walikuwa na muamko wa elimu kwa kiwango kilekile sawa na Wakristo.
 
inasemekana ni reject, kama enzi za ukoma mtu akiugua wanamtenga kwa kumfukuzia eneo maalumu, hawa pia walikuwa wachagga, sasa ikawa inafanyika msako wa wachawi na watu wenye tabia mbaya, wengi wakafukuziwa milimani huko ndio wakaenda kuunda jumuiya yao hadi leo. ila hao na wachaga ni damu moja.
Milembe njooni mumchukue mtu wenu
 
Harafu NASIKIA wana asili ya roho mbaya sijui ni kweli?
Kwenye hilo utakuwa umewasingizia wengine tulibahatika kuishi Moshi hasa miaka ya 70 hadi 80 hivyo tunazifahamu hizi jamii mbili.

Ndugu zetu Wachagga ndio Kabila linaloongoza Tanzania na Africa Mashariki Kwa ROHO MBAYA NA UBINAFSI. NI KABILA PEKEE LINALOWEZA HATA KUUA SABABU TU YA MALI. NI KABILA PEKEE MWANAMKE KUKUONDOA SABABU YA MALI ni rahisi sana.

Wapare wana tabia zao lakini angalau wamejaliwa UTU hata kama sio wa kabila lake.
 
Na wapare wa mwaka 1945 walikuwa na muamko wa kutetea haki zao kuliko wa sasa hivi. mwaka 1943-44 serikali ya mkoloni ilianzisha utaratibu wa kodi ya kichwa ktk wilaya ya pare. ilipofika januari 1945 wananchi wa upare waliamua kufanya maandamano na kukusanyika ktk makao makuu ya wilaya same mjini. mgomo huo ulidumu kwa miezi kadhaa na serikali ya kikoloni ililazimika kuifuta kodi hiyo. wapare wa 2021 wameshindwa kupinga tozo kandamizi iliyopitishwa na bunge.
Nipo nao hapa wanakunywa dengelua tuu!!! Sijui wana shida gani
 
Haya yalikuwa yakifanywa na wazu ngu. Zoom tu hizo habari, utaona medical doctor jina la kizungu, sijui nani jina la kizungu, hivyo hata wahariri, wachapishaji, si ajabu wakitumia pesa zao kugharamia, sasa baada ya Uhuru, nani ana muda na pesa za mambo ya magazeti, yenye taarifa za kabila fulani huko vijijini?
 
WAPARE wanakuja kujitetea
We kuna jamaa alikutosa au nini[emoji23]. Mtuache jamani, tuna roho nzuri sana na tunapendwa sana. Siku hizi hata sio wabahili tena, ubahili kwa sasa hauna kabila...kama vipi nitumie teni hapo tuone we sio mbahili babyfancy
 
We kuna jamaa alikutosa au nini[emoji23]. Mtuache jamani, tuna roho nzuri sana na tunapendwa sana. Siku hizi hata sio wabahili tena, ubahili kwa sasa hauna kabila...kama vipi nitumie teni hapo tuone we sio mbahili babyfancy
Shakutumia tayari
 
Back
Top Bottom