Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
na hawajaacha uchawi hadi leo.Ndio maana walienda kujichimbia miliman kwenye mawe hukooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na hawajaacha uchawi hadi leo.Ndio maana walienda kujichimbia miliman kwenye mawe hukooo
uchungu ni wachungu, hakuna sehemu hata ofisini ukakaa na mpare usigombane naye, hasa wanawake. wanaume ni kwa ubahili. ila milima iliwanyoosha kwa kuwafanya wafupi though Mungu kawajaalia sana reception, wengi wana sura nzuri mno, hasa wanawake ni baby face balaa kasoro ufupi...(naongea kama mtani wao jamani)Harafu NASIKIA wana asili ya roho mbaya sijui ni kweli?
Dah, hatari sanainasemekana ni reject, kama enzi za ukoma mtu akiugua wanamtenga kwa kumfukuzia eneo maalumu, hawa pia walikuwa wachagga, sasa ikawa inafanyika msako wa wachawi na watu wenye tabia mbaya, wengi wakafukuziwa milimani huko ndio wakaenda kuunda jumuiya yao hadi leo. ila hao na wachaga ni damu moja.
We'umeangalia bati tu, haujaangalia kivazi jinsi walivyokuwa smart?1951 walikuwa na simbadumu? Nilijua nitaona asbesto.
We'umeangalia bati tu, haujaangalia kivazi jinsi walivyokuwa smart?
Miaka 70 baada ya hiyo picha watu wamevaa midabwada!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawafahamu wapare wenye nguvu sana kifedha. Kina Msuya, Mndeme, Mgonja,. Watoto wao wanaishi maisha ya kifahari.WAPARE GANI hawa hawa wa tutonga na bajet [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
umesema kweli. na kama rais wa kwanza angetoka kilimanjaro sijui kingetokea nini, nadhani tungekuwa mbali sana. ila nyerere aliwakomesha, nilikuwa na rafiki yangu mmoja anamlaani hadi leo, yeye anasema alifaulu kabisa lakini hakuchaguliwa kwasababu kuna panga lilikuwa linapita, ukipasi sawa na mchaga anachukuliwa asiye mchaga, na hata huyo mchaga akichukuliwa hatasoma kilimanjaro ataenda kusoma songea au sumbawanga. mabasi ya uda yapo utafika tu. nadhani aliona wamezidi ukabila akawasawazisha namna hiyo na alifanikiwa.Jamii nyingi za kaskazini hususani za wapare, wameru na wachaga na zilikuwa imara na zenye mwamko wa maendeleo kupitia elimu, shughuli za uchumi na ushirikiano kabla ya uhuru. Ujio wa uhuru wa Tanganyika chini ya Tanu na kisha CCM ulikuja kuharibu na kuzifuta juhudi hizo kwa makusudi na nguvu kubwa sana. Hii ndio sababu kubwa kwa wenyeji wa mikoa hiyo kuichukia CCM daima.
hivi hata huko zanzibar wapo? kiufupi, kwa sasa Tanzania maeneo ambayo hawana muamko wa elimu ni huko kwenu zenji tu, kwa bara mikoa isiyo na mwamko sana ni ukanda wa pwani, na ninajua unajua ni kwanini. ila kuanzia nyanda za juu kusini mbeya huko, iringa, njombe popote pale, watu wanasomesha watoto sana ndio maana siku hizi hata kupata housegirls toka mikoa hiyo hupati, utawapata singidaaa, kondoaaa na maeneo mengine ya mamwinyi ambao wamelala hadi leo.Kinachoweza kuwapa kiburi wenyeji wa kaskazini mpaka leo hii ni namna walivyowezekeza kwenye vizazi vyao vyote kwenye elimu. Hao jamaa wamesomesha na wanasomesha vijana wao kwa hali na mali, upeo na maarifa vinawabeba mnoo katika maisha ya sasa. Ni wepesi wa kuzitafuta fursa, kuzikamata na kuzitumia ipasavyo.
Wengi wa wenyeji wa mkoa wa Kilimanjaro wanaisha maisha yenye standard zenye kueleweka, iwe huku mijini ama kule kwao vijijini. Kila mpare na mchaga leo hii anawaza kuwa na kazi ya uhakika yenye kumpa kipato na kuhakikisha anamiliki nyumba yake.
Jamii nyingine tutaendelea kusubiri sana.
Njooo mgagao ule kondoo choma nitafuteYabura Mwanga
Wangweno wanafanana lugha na wachaga!!! Sijui kwann machifu was kichaga hakuichukua ugweno !!! Walipaswa kuwatimua wangheno waende kukooo handen kisha walitwae hilo eneoinasemekana ni reject, kama enzi za ukoma mtu akiugua wanamtenga kwa kumfukuzia eneo maalumu, hawa pia walikuwa wachagga, sasa ikawa inafanyika msako wa wachawi na watu wenye tabia mbaya, wengi wakafukuziwa milimani huko ndio wakaenda kuunda jumuiya yao hadi leo. ila hao na wachaga ni damu moja.
Wana roho mbaya kwakuwa wana maisha na mazingira magumu sana hawa wa tambarare hawana hata maji aiseeHarafu NASIKIA wana asili ya roho mbaya sijui ni kweli?
Ukitaka demu wa bei chee njoo huku utafurahi aiseeuchungu ni wachungu, hakuna sehemu hata ofisini ukakaa na mpare usigombane naye, hasa wanawake. wanaume ni kwa ubahili. ila milima iliwanyoosha kwa kuwafanya wafupi though Mungu kawajaalia sana reception, wengi wana sura nzuri mno, hasa wanawake ni baby face balaa kasoro ufupi...(naongea kama mtani wao jamani)
Ccm = povertyJamii nyingi za kaskazini hususani za wapare, wameru na wachaga na zilikuwa imara na zenye mwamko wa maendeleo kupitia elimu, shughuli za uchumi na ushirikiano kabla ya uhuru. Ujio wa uhuru wa Tanganyika chini ya Tanu na kisha CCM ulikuja kuharibu na kuzifuta juhudi hizo kwa makusudi na nguvu kubwa sana. Hii ndio sababu kubwa kwa wenyeji wa mikoa hiyo kuichukia CCM daima.
Umenikumbusha jinsi miaka hiyo wapare walivyosumbuliwa na ugonjwa wa tauni, ugonjwa huu hutokana na kuumwa na viroboto.
Na wapare wa mwaka 1945 walikuwa na muamko wa kutetea haki zao kuliko wa sasa hivi. mwaka 1943-44 serikali ya mkoloni ilianzisha utaratibu wa kodi ya kichwa ktk wilaya ya pare. ilipofika januari 1945 wananchi wa upare waliamua kufanya maandamano na kukusanyika ktk makao makuu ya wilaya same mjini. mgomo huo ulidumu kwa miezi kadhaa na serikali ya kikoloni ililazimika kuifuta kodi hiyo. wapare wa 2021 wameshindwa kupinga tozo kandamizi iliyopitishwa na bunge.Ushahidi huo hapo.
Wapare Ufupi kumbe ni jadi .Sioni mtu mrefu hapo