hivi hata huko zanzibar wapo? kiufupi, kwa sasa Tanzania maeneo ambayo hawana muamko wa elimu ni huko kwenu zenji tu, kwa bara mikoa isiyo na mwamko sana ni ukanda wa pwani, na ninajua unajua ni kwanini. ila kuanzia nyanda za juu kusini mbeya huko, iringa, njombe popote pale, watu wanasomesha watoto sana ndio maana siku hizi hata kupata housegirls toka mikoa hiyo hupati, utawapata singidaaa, kondoaaa na maeneo mengine ya mamwinyi ambao wamelala hadi leo.
kisomo pia kwa watoto kinategemea kipato, hivyo maeneo yenye kipato yana wasomi wengi, wasukuma waliuwa nyuma ila wale wote ambao hawapo maporini wanasomesha sana watoto.