Binadamu Mtakatifu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 4,226
- 8,879
Nzachoka imi nkunda kugosha au ngoja nimuachie Tate Mkuu 😂 naomba usiniaibisheN'vyedi mtumba!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nzachoka imi nkunda kugosha au ngoja nimuachie Tate Mkuu 😂 naomba usiniaibisheN'vyedi mtumba!
Nilikuwa natamani mno kulijua Kabila la GENTAMYCINE kumbe Jamaa ni Mhaya? Basi ndiyo maana.......!!!!!!Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Weee hilo jama ni li Nyarwanda, hamna mhaya mjiga kama hilo li jamaaNilikuwa natamani mno kulijua Kabila la GENTAMYCINE kumbe Jamaa ni Mhaya? Basi ndiyo maana.......!!!!!!
Mshana ni jina la kiparey
Hili langu ni OGUnajua kuwa tunatumia majina ya kubumba humu...
Hili langu ni OG
Wasukuma wengine tunajivunia KirangaSisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Acheni Mada za kikabila hazijengi chochoteSisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla ni hayo tu kwà leo.
Kwahiyo popoma na yeye yumo kwenye circle ya wakuu [emoji3]GENTAMYCINE ni mzanaki kina Makongoro wanamuita mjomba.
Nasikia ni Myahudi ( kutoka nchini Israel ) ndiyo maana ana Akili sana na ni Mjanja mno.Popoma tangu lini akawa muhaya?
Yaani na Mimi na Kabila langu la Kipemba ( Wapemba ) nimesahaulika / tumesahaulika Kweli?Acheni Mada za kikabila hazijengi chochote
Sidhani ila Jamaa ni Mshamba fulani hivi halafu Binafsi kama MINOCYCLINE simpendi kweli kweli na naombea BAN yake idumu Milele.Kwahiyo popoma na yeye yumo kwenye circle ya wakuu [emoji3]
Ndiyo Tunu yao Kuu.Wangoni kwa umalaya...
Nasikia anaitwa Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura kwa mujibu wa Wanaomjua vyema akiwemo Mtutsi Mwenzake adrizGenta Ni Mtutsi Kwa jina la Twaha Bigirimana,
Kuna mambo ya kijinga humu mkuu.
Wameanzisha Uzi wa kujisifiaWatu wa mikoani mna safari ndefu sana.[emoji1787][emoji1787].......