Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

1476767917461.jpg
 
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
WAHAYA
 
Sasa kuokoka kumeingiaje mkuu jaribu kujibu awali badala ya kukurupuka5[emoji49] [emoji49] [emoji49] [emoji49]
Nafikiri, Anamaanisha mtu akiokoka anakuwa mbaguzi

Sasa huyo aliyeokoka tena akiwa Muhaya unategemea nini?
 
Mimi ni Mjita halisi kabisa.
Makabila yote Africa yanapenda taizi .
Ndo maana Leo hii kumekua na suala la kick, kwannn kick ?
 
Wahaya ni species nyingine asee,hivi si walisha wahi kuja na thread humu JF et hawataki kuchanganya posts zao na watu wanaotumia tecno na itel kisa wao wanatumia iPhones na Samsung galaxy!!!?????????
 
Wapare
Hupenda kujiona bora kuliko wengine.
Ni wabinafsi sana.
Wana dharau sana.


Wahaya.
Ni wabaguzi mno
Wabinafsi
Hujisikia mno
Hupenda kujisifia kuliko kawaida.




Wajita........
 
Back
Top Bottom