Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

Wapare, Wahaya, Wajita: Kabila gani wanapenda sifa sana?

Tatizo ni ufahamu wenu , mnaweza sema tunaringa kumbe ni mtazamo wenu tu
 
Wapare
Hupenda kujiona bora kuliko wengine.
Ni wabinafsi sana.
Wana dharau sana.


Wahaya.
Ni wabaguzi mno
Wabinafsi
Hujisikia mno
Hupenda kujisifia kuliko kawaida.




Wajita........
Ila wapare mkuu unawasingizia, mimi nina marafiki wapare wako poa sana mbona
 
Wajita nyie sio mchezo,nimewahi kuishi kwa ukaribu na wajita wa3 ktk maisha yng wawili walikuwa rafiki zangu wa karibu ni maskini wa kutupwa lkn kwenye majigambo na kuringaa hawafanani na mtu
 
Back
Top Bottom